Stephen Sackur wa BBC HARDtalk akubali kumhoji Rais Magufuli

Kabla hajakutana na hii zahama ni bora aanze mazoezi kwa mahojiano na Masudi Kipanya au Kile cha Azam Tv cha BM!
Tunaweza kumshuhudia anapiga push ups studio!
 
Pamoja na muda mkuu mh hawez kabisa hilo halina ubishi......Ukiondoa ugumu wa lugha ya malkia kwake,ni too emotional anapanic haraka hvyo hawez kumudu wala kusogea eneo hilo
Ukitaka kumpanikisha muulize alipataje phd
 
Wanataka kumhoji kwa kutumia lugha IPI kwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
KINGEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!

BBCHT.jpg
 
Mkuu, sio makamanda, ni Stephen Sackur. Huyu ndio inabidi tumwandame aache kabisa mpango wa kumhoji

mbona tunapenda kujitoa ufahamu kiasi hicho au ni kutokuelewa, hilo ni ombi la mtu kwenda kwa mtangazaji ndg Stephen Sackur afanye iterview na JPM na hakuna mahali panapoonesha ndg Sackur amekubali, sasa mnapoandika kimihemuko kwamba ni mipango ya Sackur kumhoji JPM hii maana yake ni nini? kwamba hamjaelewa hiyo lugha hapo au ndo mwendo ule ule????
 
Rais hana huo muda wa kukaa anahojiwa na vyombo vya habari.
Rais wetu anamambo mengi muhimu ya kufanya kulinganisha na hicho mlichoomba.

HAYO MAHOJIANO YATAMSAIDIA NINI BIBI YANGU KULE KIJIJINI?

Sent using Jamii Forums mobile app

Duh !!! Pole sana bro so far Bibi kesha pata faida kabla ya mahojiano ? Huko hakuna ujenzi wa madarasa ? Michango Serikali imreto au mnachanga ?
 
mbona comments za watu walio wengi (ziko negative sana) ni kama vile hawakupitia mashuleni??? Magufuli alisomea sayansi tena hesabu, fizikia na kemia (ambapo formula ndo zinatumika kwa wingi na kukokotoa zaidi ukitoka hapo ni experiments hakuna blah blah) ambapo wengi waliochukua mchepuko huo kwenye lugha inawapiga chenga kidogo kutokana na nature ya masomo yao kulinganisha na waliochukua lugha au kidogo art sababu kuna kujieleza sana so inakujengea uwezo wa kuelewa kiingereza zaidi maana ndo lugha inayotumika au kwasababu hamumpendi JPM basi ndo itakuwa kila kitu kwake ni kibaya tu ila akifanya mwingine sawa,

Pili kujua kiingereza katika dunia ya leo ni muhimu hakuna anayekataa lakini haina maana kwamba kutokujua ndo ushamba, mbona kuna Marais wa nchi nyingi tu duniani hawawezi kuongea kiingereza kiufasaha hatujasikia wananchi wao wakiwabeza???? kama kujua kiingereza ndo kuleta maendeleo basi katika awamu za mzee Mkapa na mzee Kikwete jinsi walivyokuwa mafundi wa kiingereza nchi yetu tungekuwa kama ulaya sasa kimaendeleo............ CHARITY BEGINS AT HOME, tujifunze kupenda vya kwetu kwanza kabla ya kukumbatia vya wageni!!!!
 
Back
Top Bottom