Kwa nini unauliza swali lililolenga katika jibu fulani, wakati huna ushahidi wowote kwamba huko ulikolenga kwa swali lako ndiko kwenye jibu?
Kwa nini unauliza mtoto gani kaweka jani la muembe mlangoni kwako, wakati hujui jani la muembe limekuja vipi mlangoni mwako?
Unajuaje limewekwa na mtoto?
Utasemaje Mungu yupo kwa sababu vitu haviwezi kutokea vyenyewe, lazima viwe vimeumbwa na Mungu?
Mpaka sasa nilichogundua nikwamba biblia na quaran ni vitabu vilivyoandikwa na watu wakijaribu kumuelezea mungu na makusudi yake ktk ulimwengu na viumbe vyake, ndio maana utaona Luna makosa mengi kama unavyobainisha kila siku,
Hii sasa mipasho.Wewe mbona huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwake ?
Hii sasa mipasho.
aliongea ivo ili ieleweke kitendo kilichofanyika sasa ULITAKA ASEME JUSHUA ALISIMAMISHA DUNIA WATU WASINGEWEZA ELEWA NN KILIFANYIKA... KWA MANENO MENGINE JUA LILIKUA HALIONEKANI LIKIZIMA..MBONA INAELEWEKA SANA..WEWE NA WAJOMBA RAFIK ZAKO MNAOPINGA NDIO MNAJICHANGANYA ....HAYO MANENO HATA MTOTO MDOGO AKISOMA ATAELEWA KUA JUA LILIGANGA....Joshua akisimamisha jua" jua linatembea? Au Dunia ndio inazunguka jua?
Teh.....You are an incurious imbecile, a calcified cretin and an ignoble ignoramus.
I don't see the point of wasting my time with you.
Hata Galileo Galilei aliposema dunia inazunguka jua, na si kweli kwamba jua linazunguka dunia kama kanisa na Biblia inavyosema, aliambiwa kakufuru. Akafungiwa nyumbani kwake baada ya kuomba msamaha bila sababu ili tu asiuawe.
Biblia inasema Mungu ameisimamisha dunia, haizunguki. Hilo tu linatakiwa kukuonesha Biblia imeandikwa na watu, si Mungu. Tena watu ambao hawakuwa na elimu ya kujua dunia inazunguka.
Miaka 350 baadaye, kanisa katoliki limeomba msamaha na kusema Galileo alikuwa sawa.
Galileo alikuwa mbele zaidi ya kanisa katika kujua ukweli, kwa kutumia majaribio ya kisayansi.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo na habari za kuwapo huyo Mungu si hadithi za watu tu?
Habari ya kanisa kuomba radhi kwa kumhukumu Galileo kimakosa iliandikwa na The New York Times hapa chini.
Wengine mpaka leo tunahukumiwa kimakosa na wanadini kama alivyohukumiwa Galileo. Labda miaka 350 ijayo watu wataelewa ukweli.
Teh.....
Mi nshawahi wauliza dini ya kweli ni ipi uislam au ukristo
Huyo zurri alichonijibu , sure ni idiot
Teh.....
Mi nshawahi wauliza dini ya kweli ni ipi uislam au ukristo
Huyo zurri alichonijibu , sure ni idiot
cha kwanza naamini Mungu yupo , usiniweke kundi moja na kirangaNaomba unikumbushe nilichokujibu ? Si unajua sisi binadamu tuna sahau sahau.
Sasa huyo mwenzako nimemuuliza maswali madogo lakini kwa kushindwa kwake kujibu "amepanic" kama amesingiziwa ufisadi.
Nimemuuliza swali dogo na wewe unaweza kumsaidia pia : Vipi hatilii shaka uwepo wa Socrates wakati hajawahi kumuona zaidi ya kusikia habari zake ? Je anaweza kunipa ushahidi kama huyo Socrates aliwahi kuishi hapa duniani ?
Hapa ndipo utaona tofauti yetu na nyinyi,sisi tunafikiria juu ya ukamilifu wa mambo lakini nyinyi mnaongozwa na dhana na wasi wasi tele.
cha kwanza naamini Mungu yupo , usiniweke kundi moja na kiranga
Umenisikia ?!
Unaweza kutaja hoja tu yenye kuonesha Kiranga anatafuta ukweli na si kwamba anapinga uwepo wa Mungu? Maana huyo jamaa anajua kabisa kuwa watu hawawezi kuthibitisha uwepo wa Mungu na pia anajua kuwa kabisa mtu kushindwa kuthibitisha kitu haifanyi hicho kitu kuwa hakipo kama kweli kipo kitakuwepo tu,ila yeye pamoja na hivyo bado hoja yake kubwa humu ni kudai uthibitisho kwa sababu anajua hutoweza kuthibitisha na ndiyo anaposema hakuna Mungu na ndiyo maana watu hawawezi kuthibitisha. Kwahiyo unaweza ukajadiliana naye ila akishaona mjadala unamshinda ndipo anapotumia silaha yake ya kutaka uthibitisho ili akunyamazishe.Kuna kitu wengi humu hamjamuelewa KIRANGA. Anachofanya ndicho walichofanya wanafalisafa wengi wa karne za nyuma sana. Sidhani kama Kiranga anapinga Uwepo wa Mungu, nadhani anachotafuta ni UKWELI.'' IF YOU WANT TO KNOW THE TRUTH, YOU MUST DOUBT EVERYTHING, EVEN THE TRUTH MUST BE DOUBTED''. Asumption za wanafalsafa wa zamani ndizo zilizopelekea UGUNDUZI wa mambo mengi makubwa kwenye hii Dunia. Hata wapo waliohukumiwa kifo kwa kuambiwa wamekufuru lakini baadae ikagundulika Asumption zao zilikuwa ni Sahihi. ndio maana wenzetu wazungu wanafika mbali sana lakini sisi bado tunateswa na imani na mtu anapohoji anaonekana anakufuru. NINACHOAMINI MIMI HATA HAWA WANAOHOJI UWEPO WA MUNGU SIDHANI KAMA WANAMKOSEA MUNGU BALI MUNGU ANAPENDEZWA NAO KWAKUWA WANAUTAFUTA UKWELI ZAIDI NA KUTAKA KUMJUA
Kitu cha pili fikiria hichi kituHuyo Kiranga amekuwa muoga sana siku hizi,unatakiwa umshajiishe aache uoga na asiwe anakimbia maswali.
Uwepo wa socrates unaweza kuthibitishwaSafi,msaidie hayo maswali kujibu.
Je unadhani , hilo la kujitenga linathababishwa na nini , kwa nini Mungu hakuamua kuwe na njia moja ya kumjua yeye
kkUsibishe hapa , unawakosoa sana wakristo jukwaa la dini
Usibishe hapa , unawakosoa sana wakristo jukwaa la dini
Je Mungu wao ni wauongo ?
Je wako ni wa kweli ?
Je tumwamini Mungu yupi ?
Kwa nini anajicontradict hivi
Kuna sehemu wanakula kitimoto
Mara huku hawali
Hapo ni kwa wakristo huku
Unadhani sababu ni ipi
Huo mtengano uliotokea kwa watu ishirini , je unaweza kuwa uthibitisho wa kwamba mungu yupo au hayupo ?!