Kwa nini unauliza swali lililolenga katika jibu fulani, wakati huna ushahidi wowote kwamba huko ulikolenga kwa swali lako ndiko kwenye jibu?
Kwa nini unauliza mtoto gani kaweka jani la muembe mlangoni kwako, wakati hujui jani la muembe limekuja vipi mlangoni mwako?
Unajuaje limewekwa na mtoto?
Hivi nje ya "nani" kuna nini chenye kuweza kubuni ? Hii ni lugha mzee,haikwepi kwani ilianza yenyewe kabla ya hizi fani.