hey wana jamii hicho chuo cha udsm kina facult nyingi sana na mtu kama kuwa proud hakatazwi ila asije akadharau vyuo vingine maana kuna watu wana point kali na wanapendelea facult fulani kutoka vyuo vingine na sio wote wamekariri maisha kuwa udsm ni kila kitu.Mbona wanaosoma pale baadhi hawakukipa chaguo la kwanza ila wamepelekwa kwa mtindo huu mpya wa TCU....