Stendi mpya Iringa ni usumbufu mtupu

Stendi mpya Iringa ni usumbufu mtupu

Huo ni upuuzi wa hali ya juu, yaani natoka Dodoma badala ya kushuka kwangu picha ya ndege nipelekwe mpaka Ubungo, halafu inaweza kuwa ni usiku hapo, majitu yanatetea....
Sasa kama stendi ya Ipogoro na kule mjini imefungwa na kuhamishiwa Igumbilo unataka ushushe Ipogoro kwenye stendi ipi mzee??? Kuna watu wanakaa kibo mzee ila wanaenda kushushwa ubungo
 
Kuna miji kama Lindi badala ya kukua ndo kwanza inadidimia, miji inakuwa na shughuli nyingi za kiuchumi na kurahisisha mambo badala ya kuongeza kero
Miji haiwezi kukua hata siku moja mking'ang'ania sehemu moja.

Maendeleo yoyote lazima mwanzo wake uwe na changamoto.
 
Stand Mpya ya Dodoma ndo ile Niko kma uwanja Wa Mpira??au nyingine, Mana nilipita nikashangaa naambiwa tunaingia stand, kama uwanja Wa Mpira iko plain kabisa vumbi sasa
Vumbi mpaka leo kiongozi, hakuna kitu
 
Hii stand haina wapiga picha!? Mbona inazungumziwa kwa maandishi tu no shots!!!
 
Nachojiuliza mimi utaratibu huu umewekwa kwa faida ya nani sababu hakun ulazima kulazimisha abiria kushushiwa mpaka stend swaa la kuamishwa stendi sio tatizo
[/QUOTE]
Ni lazima ushukie stand mkuu...... Ili uwezeshe ajira za watu wengine Kama daladala na bodaboda
 
Narudia tena , ni upuuzi kupeleka stend maporini bila kufanya upembuz ya kinifu wa kujua shida ipo wap, ni upuuzi mkubwa na hii inaonyesha namna gan waafrica tuna ufinyu wa matumizi ya akli, et kuongeza ajira na kupanua mji, sababu za kitoto kabisa, tuna viongozi local sana, ili stendi ifanye vizur kuna vitu vya kuangalia, na sio kuhamisha tu maporini Kwa sababu za kihuni za kupanua mji na kuongeza ajira,

Hvi mtu huwez kujiuliza, Kwa nn stendi ilikuwa mjin Kati, badae ikahamishwa mwanzo wa mji, leo mji umekuwa unaitoa tena kuhamisha maporini, na believe me after 20 yrs utahamisha tena kama hutachekecha akli kujua tatizo liko wap...
Wazungu wanasema, hata kama uwe na barabara pana kias gani , kama huna feeder road huwez kukwepa traffic jam,

Huwez kulazimisha stend moja itoshe magar yote hyo haipo, utaendelea kuhamisha hamisha , mwisho wa siku utafika mafinga,... Kama mji una njia kuu tatu za kutokea, lazima uwe na stendi tatu ( kila njia na stendi yake) na kila stend igawanywe kulingana na masafa ya magari, stendi ni mahali pa gar kushusha abiria au kupakia na kusepa, sio sehemu ya parking,.... Kuweka stendi kubwa maporini hakuwez saidia lolote, baada ya miaka 20 hyo stendi wataanza kufikria kuihamisha, na sa hv watu watakuwa wanademand kushushwa kituo cha mwisho Kabla ya kuingia mjini ili kukwepa adha ya kwenda stendi....

Kuna factor lazima ziangaliwe ili stendi ikae mkao, hata waliojenga stendi hz ambazo tunahamisha na wao walikuwa na mawazo haya haya , lakn leo wanaonekana kama walikuwa wanacheza
 
Umeongea kwel mkuu.
Maana kkukwel kwa jografia ya ule mji,iringa iko pale juu ya mlima.
Kwahiyo kusema uweke stand porin kule utawafanya hata wapitaji waone kule chin ndio iringa town .hata kuvutia hapavutii kwakwel..
 
Hao bodaboda wapo mahali popote kinachofanyika sasa abiria wanalipia gharama mara mbili bajaji wanapiga sio mchezo hoja yako haina mashiko Ni lazima ushukie stand mkuu...... Ili uwezeshe ajira za watu wengine Kama daladala na bodaboda
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom