Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,129
- 4,469
Nilikuwa nafurahia kuona stand imehamishwa kwenda Igumbilo niliona ni jambo jema mana mjini pale palikuwa pamejaa lakini sikujua kama huduma ya usafiri imegeuka kuwa kero kwa wasafiri
Jana wakati narudi kutokea Mbeya mimi nakaa Ipogolo nalazimishwa nikashushiwe stand bila sababu za msingi sijui hili jambo hili limefanywa hivi kwa faida ya nani kupelekwa kule ikabidi nitumie gharama mara mbili tena hapo hapo na mizigo yani stand imegeuka kuwa kero wa wasafiri ni bora ingerudi tu huku mjini imegeuka kuwa kero