Stendi mpya Iringa ni usumbufu mtupu

Stendi mpya Iringa ni usumbufu mtupu

Ahahahahah.Kale ka distance karefu sana aisee.

Halaf halmashauri nying hapa nchin naona wame concerntrate sana na project za namna hii recently.Sijui wana ajenda gan.Kote mikoani ukipita hiv sasa stand nying zimehamishiwa nje ya miji hata vimiji vidogo.

Unaa tu...!labda wanakuza mji madai yao..so ww ni Hehe?
 
Sasa kama stendi ya Ipogoro na kule mjini imefungwa na kuhamishiwa Igumbilo unataka ushushe Ipogoro kwenye stendi ipi mzee??? Kuna watu wanakaa kibo mzee ila wanaenda kushushwa ubungo
 
Hao ni uzembe wao kaka.
Na by the way wa kibo anaweza shushwa hata kimara.Swal iringa wana vituo hivyo vidogo vya njian??
 
Nachojiuliza mimi utaratibu huu umewekwa kwa faida ya nani sababu hakun ulazima kulazimisha abiria kushushiwa mpaka stend swaa la kuamishwa stendi sio tatizo
[/QUOTE]Kama hutani kufika stand ya igumbilo umeshaambiwa points za kushukia ikiwa unatokea Mbeya au Dodoma. Bado kuna tatizo?
 
Kuhamisha stendi maporini ni ujinga na ujuha wa hali ya juu, kuna wajinga wengine kule Mwanza wanataka wahamishe stendi zote maporini wakat kuna maeneo konki ya waz mengi tu mjini, unapeleka stend km 20 away from city center kweli
Maeneo ya mjini yametengwa kwa ajili ya mawasiliano mengine. Na pia mengi ni.mafinyu
 
Nilikuwa nafurahia kuona stand imehamishwa kwenda Igumbilo niliona ni jambo jema mana mjini pale palikuwa pamejaa lakini sikujua kama huduma ya usafiri imegeuka kuwa kero kwa wasafiri

Jana wakati narudi kutokea Mbeya mimi nakaa Ipogolo nalazimishwa nikashushiwe stand bila sababu za msingi sijui hili jambo hili limefanywa hivi kwa faida ya nani kupelekwa kule ikabidi nitumie gharama mara mbili tena hapo hapo na mizigo yani stand imegeuka kuwa kero wa wasafiri ni bora ingerudi tu huku mjini imegeuka kuwa kero
Ni kweli ni usumbufu tena pana umbali wa kutosha. Tafuteni suruhisho. Ningesema andamaneni,lakini sio kwa sasa. Napo mkiwaona viongozi ndio hao hao walio-proces hiyo kitu au tumieni tu hivyo hivyo,utafanyeje sasa?
 
Nachojiuliza mimi utaratibu huu umewekwa kwa faida ya nani sababu hakun ulazima kulazimisha abiria kushushiwa mpaka stend swaa la kuamishwa stendi sio tatizo
[/QUOTE]

Usumbufu huo ndo chanzo cha mapato!!
Hata mbeya,ukishatoka nane kama umetoka dar hushuki popote mpaka stend kuu!mamaae!njiani unapita vituo vingi balaa!kama ILOMBA
,MAMAJON,KADEGE META!
Knachotakiwa ubadilike wewe!
 
Sasa kama stendi ya Ipogoro na kule mjini imefungwa na kuhamishiwa Igumbilo unataka ushushe Ipogoro kwenye stendi ipi mzee??? Kuna watu wanakaa kibo mzee ila wanaenda kushushwa ubungo
kwa nje pale ipogolo kuna nafasi
 
Kama hutani kufika stand ya igumbilo umeshaambiwa points za kushukia ikiwa unatokea Mbeya au Dodoma. Bado kuna tatizo?
[/QUOTE]ata ukishushiwa hivo vituo bado ni yale yale mkuu gharama ni kubwa bajaji nao wanapiga kweli kweli fikiria hapo upo na mizigo
 
Usumbufu huo ndo chanzo cha mapato!!
Hata mbeya,ukishatoka nane kama umetoka dar hushuki popote mpaka stend kuu!mamaae!njiani unapita vituo vingi balaa!kama ILOMBA
,MAMAJON,KADEGE META!
Knachotakiwa ubadilike wewe!
[/QUOTE]
Chanzo gani cha mapato kwa serikali wasafiri tunapigwa tu na bajaji umbali ni mrefu fikiria mtu unakaa huku donbosco halafu unashushiwa huko kihesa gharama ni mara mbili mkuu stand yetu ipo mbali sana mji mkuu huwezi fananisha na mbeya
 
Unapotoka mbeya au ukanda huo kubali kushukia kitwiru unless lazma igumbilo unapotoka ukanda wa dom lazma ushuke kihesa
Duh..! Imekuwa shida sasa.

So ukishuka Kitwiru ..Boda mpaka Mjini bei gani!?
 
Nachojiuliza mimi utaratibu huu umewekwa kwa faida ya nani sababu hakun ulazima kulazimisha abiria kushushiwa mpaka stend swaa la kuamishwa stendi sio tatizo
[/QUOTE]
Haimake sense kabisa aisee... Sasa hapo ipogolo hawashushi kwanini!??
 
Nilikuwa nafurahia kuona stand imehamishwa kwenda Igumbilo niliona ni jambo jema mana mjini pale palikuwa pamejaa lakini sikujua kama huduma ya usafiri imegeuka kuwa kero kwa wasafiri

Jana wakati narudi kutokea Mbeya mimi nakaa Ipogolo nalazimishwa nikashushiwe stand bila sababu za msingi sijui hili jambo hili limefanywa hivi kwa faida ya nani kupelekwa kule ikabidi nitumie gharama mara mbili tena hapo hapo na mizigo yani stand imegeuka kuwa kero wa wasafiri ni bora ingerudi tu huku mjini imegeuka kuwa kero
Mkuu mishe vp ipogolo hapo? Ts my home county
 
Kuhamisha stendi maporini ni ujinga na ujuha wa hali ya juu, kuna wajinga wengine kule Mwanza wanataka wahamishe stendi zote maporini wakat kuna maeneo konki ya waz mengi tu mjini, unapeleka stend km 20 away from city center kweli

Miji haiwezi kukua hata siku moja mking'ang'ania sehemu moja.

Maendeleo yoyote lazima mwanzo wake uwe na changamoto.
 
Back
Top Bottom