Stendi mpya Iringa ni usumbufu mtupu

Stendi mpya Iringa ni usumbufu mtupu

Kuhamisha stendi maporini ni ujinga na ujuha wa hali ya juu, kuna wajinga wengine kule Mwanza wanataka wahamishe stendi zote maporini wakat kuna maeneo konki ya waz mengi tu mjini, unapeleka stend km 20 away from city center kweli

Labda wanaiga utaratibu wa viwanja vya ndege kuwa nje ya miji
 
Sijarud nyumban iringa 5 years sasa na kama kero zenyewe ndio kama hiz basi naweza nika ahrisha maana nili plan nikapumzike kwa wazee few months to come.
Ila nimeskia kuwa kuna baadhi ya mabasi yana stend zao juu kule town like Upendo bus..
 
Napakumbuka san Iringa..ni jana tu nilowaza niende huko...!
 
Ahahahahahahahaha...Aiseee..sijui kwann nimeshangaa ila anyway...
Mm mwenyej kupitiliza pande hizo

😅😅😅..Mie nimezaliwa huko form 1 nikafaulu Iringa gals...!ila sikwenda coz twin angu alifeli..so tukaenda Mwembetogwa!hahaha katisha sana mitaa ya hapo kati nilikua naishi kijiweni by then ..tukahamia fidifosi😂😂!..nadhan nna miaka kama 10 sijapanda kule juu . au na zaidi kbs!napamis.....Ashiana hotel😁
 
Aisee..sure.Kumbe ni mwenyeji haswaa ..kama umepiga Mtogwa ww si mgen hata kidogo...
 
😅😅😅..Mie nimezaliwa huko form 1 nikafaulu Iringa gals...!ila sikwenda coz twin angu alifeli..so tukaenda Mwembetogwa!hahaha katisha sana mitaa ya hapo kati nilikua naishi kijiweni by then ..tukahamia fidifosi😂😂!..nadhan nna miaka kama 10 sijapanda kule juu . au na zaidi kbs!napamis.....Ashiana hotel😁
Mm niko centre kabisaa hapo Uhindini.Ila sijarud kitambo sana home.Napita juu kwa juu tu
 
Kwa hii sentensi yako naamini mtoto wankiume anasahau sana kwao..naumia moyo nna madume tu..Mungu anipe mtoto wa kike kwakwel..dah!
hapa nimeambiwa tu mama anaumwa anaenda dodoma nimekimbia kahama km kichaa . ! nimemwqmbia bro hata hakashtuka kbs..sijui kwann watoto wa kiumr mna roho kavu jaman
 
Ahahahahahhah...watoto wa kiume kwakwel vichomii.Tunaamin zaid katika kutuma salio basi na likizo nawapeleke wajukuu wakaniwakilishe kila likizo...so nakua kama nipo ingawa sipo
 
unalamba bajaj...na ile baridi bas saaafi
Ahahahahah.Kale ka distance karefu sana aisee.

Halaf halmashauri nying hapa nchin naona wame concerntrate sana na project za namna hii recently.Sijui wana ajenda gan.Kote mikoani ukipita hiv sasa stand nying zimehamishiwa nje ya miji hata vimiji vidogo.
 
Back
Top Bottom