Stella Manyanya amkaba koo Dr Slaa

This tarnishes her good image completely!hapo mwanzo sikujua kama huyu mama ni non sense kiasi hichi!shame upon you!!
''nilikuwa sijui kama huyu nae ana akili fupi kiasi hiki'' - RA (mb)
 

Kwa hiyo kumbe na wewe unajua adabu za mazungumzo, kuwa sio kila neno linasemwa tu popote.

Ingelikuwa watu wote wanatakiwa wafate huo ustaarabu wa Josephine tungesikia maneno ya waongo, wanafiki, wazandiki, vizabizabina na mengineyo aina kama hayo bungeni. Lakini hatuyasikii, watu wanakosoana kwa maneno ya kistaarabu. Si lazima uvunjie watu heshima ndo ujumbe wako ufike. Slaa, Zitto, Mbowe na wengineo hawatumii maneno hayo kufikisha ujumbe wao, na sio kama wanayoyasema yanashuka thamani.

Kwa hili, hapana, hakuna mstaarabu kati ya hao wawili
 
Mkuu umenikumbusha mbio za mwingi na uchezwaji wa ngoma kwa wiki nzima mfululizo na maandamano ya wanafunzi kuusindikiza, sasa sijui pengine huko ndio kufanya kazi
 
Hata mimi nimemshangaa, badala ya kupeleka ishu polisi analeta bungeni! ni kupoteza muda wa bunge kwa mambo personal na hata hivyo hana uhakika kama josephine emmanuel ndiye huyo 'mke' wa dr. slaa, amejudge kwa kufananisha jina.

Mkuu,Josephine keshajibu,kwa ujumbe aliomtumia kweli kuna kumpeleka mtu polisi hapo? Mh.manyanya katika hili kachemsha big time.
 
sasa kuanzia leo upuuzi huu hatuutaki kama ulisomea udaktari , ingineer wa meli, magari, nyumba hautaruhusiwa kuwa mwanasiasa maana siasa sometimes ni uongo uliokubalika ingineer doctor wa mifugo, binadam uhawatakiwi kuongopa sasa huyu mama Tomato kama ni ingineer wa ukweli kweli hawaachie wanamagamba waendelee kutuoa ahadi hewa ndio sera tulizozizoea tangu enzi za awamu ya Pili mpaka leo miaka 50 sasa imeisha tunasulubika tunaishi kama mateka eti uhuru, uhuru kwa mulo mmoja, uhuru wa jua kali mifuko imekauka, uhuru wa kuishi gizani, labda uhuru wa kuongea kama ilivyo airtel!!!!?
 
Kwani huyu mama ni Mbunge wa Kijiji? au ana kijiji anachokimiliki?
 
Kwenye kujadili hoja ya sms ya Mama Slaa na Eng.Manyanya kuna mawili:Inawezekana wengine mkawa hamjui chochote,mmebaki kuweka hisia zenu na mapenzi yenu kwa baadhi ya watu/chama;kama priority number one.Inawezekana kuna baadhi mnajua chanzo cha bifu kati ya watajwa hao lakini mnajitahidi kwa juhudi zote kui spin hii hoja.Siye wengine tunawasoma tu,lakini at the same time(t) tunachanganya na za kwetu!
 
huyu si ndiyo yule engineer mwanasiasa - au njaa ndiyo zinawapeleka huko? yaani unaitupa carrier yako ya ufundi unaingia kupiga majungu.

Majungu nayo yanahitaji ufundi mkuu
 
Huyu si alikuwa kwenye kamati ya mwakyembe na alishiliki kumwangusha waziri mkuu mstaafu. je leo amekuwa mnafiki namna hiyo? Je Lowwasa akisema alionewa hawa watabishi? Nimeamini nguvu ya pesa ni kiboko kibaya. Mpaka ameanza kwa DR wa ukweli , ila hapo ni moto asubiri DR aongee atajuta kuyatamka.
 

Saanane,na wewe unamchokoza Engineer Stella sio? Atasema umemdhalilisha,subiri apeleke hoja bungeni na hauko kule.vipi Nasikia unajiandaa kugombea Ubunge wa Afrika masharaiki,kumbuka unahitaji pia kura za CCM na si utaenda kumwomba kura?
 
Huyu naye anatia kinyaa! hawa wabunge wasio na jimbo wanaongea kila upumbavu naona wataanza kuongea hata wanamtongoza na kulala nao! Bado spika anaweza kuruhusu bunge kutumika kipumbavu kiasi hiki!
 

Mkuu acid sorry MTM wewe kichwa sana big up bro.
 

Nimekuelewa vizuri sana mkuu wangu........Namuunga mkono mwalimu Gaijin,wote(Josephine na Stella wana makosa)...

Manyanya si mstaarabu na Josephine nae si mstaarabu vile vile.

Utamuandikiaje msg mtu na kutumia maneno Kama 'acha ushabiki na unafiki' ?
 
mtani hapo kwenye red umesema kweli.....mana hata ukiwangaliwa sms aliyotumiwa ilikuwa ni ya kumfanya awajibike ipasavyo...haikuwa matusi kama alivyodai....bali ni ukweli mtupu....huyu mama manyanya sijui vipi

Ukweli mwingine ni kuwa Injinia Manyanya amempaka live Demu wa Slaa ila wivu umewashika wengine.
 
Nimesoma maoni ya wadau wote waliochangia ila jambo moja ni kuwa kama taifa kama viongozi wasomi tulio nao ni kama Stella Manyanya basi tatizo ni kubwa.Bado najiuliza spika wa karne alikuwepo na reaction yake ilikuwaje!au aliona kwa kuwa wanaoshambuliwa ni wapinzani basi ni sawa tu!!!Vilevile kama sms tulioiona ndio iliyomjaza upepo basi hii ni msg kwa wabunge wote waliokuwa wanaimba kibwagizo cha kupitisha bajeti 100% kisha wanaorodhesha matatizo na mapungufu zaidi ya 100%.Nami narudia TENA ''wabunge wa namna hii waache ushabiki na unafiki wanapojadili hoja zenye maslahi kwa watanzania''.
 
Nimesoma maoni ya wadau wote waliochangia ila jambo moja ni kuwa kama taifa kama viongozi wasomi tulio nao ni kama Stella Manyanya basi tatizo ni kubwa.Bado najiuliza spika wa karne alikuwepo na reaction yake ilikuwaje!au aliona kwa kuwa wanaoshambuliwa ni wapinzani basi ni sawa tu!!!Vilevile kama sms tulioiona ndio iliyomjaza upepo basi hii ni msg kwa wabunge wote waliokuwa wanaimba kibwagizo cha kupitisha bajeti 100% kisha wanaorodhesha matatizo na mapungufu zaidi ya 100%.Nami narudia TENA ''wabunge wa namna hii waache ushabiki na unafiki zinapojadiliwa hoja zenye maslahi kwa watanzania''.
 
Naona mh Manyanya ameumia kwa kuambiwa ukweli. SMS ya Josephine haina matusi yoyote zaidi kumpa changamoto Stella awajibike kwa kuwa mwakilishi wa wananchi.

Kwani nani asiyejua kuwa wabunge wetu wa ccm ni wanafiki? Badala ya kutusemea na kituwakilisha sisi wananchi wao wanasemea maslahi yao na chama chao?

Nani asiyejua kuwa wanatusaliti kwa kusema ndiyo na kupigia makofi vitu amabavyo havina maslahi kwetu?

Wakiambiwa kwamba wanawasaliti wananchi wao, wanasema wametukanwa!
Shame on them.
 
Huyu naye anatia kinyaa! hawa wabunge wasio na jimbo wanaongea kila upumbavu naona wataanza kuongea hata wanamtongoza na kulala nao! Bado spika anaweza kuruhusu bunge kutumika kipumbavu kiasi hiki!

Asante Arafat, mimi hupenda sana kuangalia kinachoendelea Bungeni na kitu hicho nimekigundua toka siku michango ya wabunge ilipoanza, utaona kila mbunge wa kuteuliwa (wasio na jimbo) hasa toka CCM wengi wanaongea muda mwingi wakiwa wanajikomba kwa serikali wakati wabunge wa majimbo wao wamejikita angalau kidogo ktk matatizo ya sehemu walizotoka hasa wa CCM kwani wanafahamu ni kimbunga gani kitawapata 2015, angalia tu jinsi wabunge wote walio na majimbo wa CCM wanavyochangia bajeti ya waziri mkuu wengi lazima waongelee Dr Slaa or Maandamano ya CDM ktk majimbo yao
 
huyu injini matomato ninamashaka nae nafikiri atakuwa ametoroka milembe, mambo ya jikoni analeta bungeni au ndio akili za v/maalum wa chama cha magamba? kweli mti wenye matunda ndio unaopingwa mawe.
 
Jamani mbona hii habari haina tija kwa taifa? kwanini msizungumzie mambo muhimu mnazungumzia watu wanaoonekana kana kwamba wanagombania bwana au na nyie........................................ mimi ni mgeni ngoja niishie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…