Stealing Africa - Why Poverty?

Africa shamba la bibi tunaibiwa halafu tunachelekea hiyo misaada wanayotupatia wakati ni 5% wanaturudishia ya pesa waliyotuibia.
 
Ukisikiliza sana huo mkasa utakuja kugundua Africa amna Viongozi.....Viongozi wetu wanaendesha nchi vile zinavyotaka nchi za nje.....

Hapa ndo utakuja kugundua je ni sisi tunaotaka industrialization au ni wao wanaotaka industrialization..............
 
Africa shamba la bibi tunaibiwa halafu tunachelekea hiyo misaada wanayotupatia wakati ni 5% wanaturudishia ya pesa waliyotuibia.

Ukisikiliza huu mkasa waziri anajitetea anakuambia ilikuwa ni amri toka juu........nchi yako pia unapewa amri....maybe I am still young na siko uko juu ila laiti ningekuwepo wangetafuta namna ya kunitoa maana ningebishana nao
 
Back
Top Bottom