Duh Aiseeeee !!Jamaa aliyesemwa na Mwanasheria Tundu Lisu kuwa anabadili-badili damu ovyo, kama angelikuwa amefuata ushauri huu, basi angeliokowa saana pesa za walalahoi kwa kwenda kubadili damu na asingeliangukaanguka ovyo majukwaani.
Nimeipenda ingawa nilishaiona siku nyingi.