Stay away from Bitcoin crazy

Yales bado nasubili jibu lako naona umepotea ghafla.
Kama wewe ni mtu wa magendo aidha ununue VPN za nje ,ununue hacker deepweb akufanyie kazi ,ku hire hitman ,nk na bitcoin hutumika sana deepweb tumia sababu ni pesa iliyo salama haujulikani identity yako,haiachi alama

Ila kwa hapa bongo ni kudanganyana tu na wengi wanalizwa sababu utauziwa na mtu humjui ukimtumia dollar 300 mfano ili ununue bitcoin ndio anakutapeli au ukinunua huko deepweb ndio kabisa wana kuhack na kukuchukulia zote

Huko China watu wana convert fresh into cash ila tatizo namna ya kuipata sababu 99% lazima utalizwa tu huwezi from no where ununue kwa unknown person bitcoin ukimtumia unaingia cha kike
 
Dah! Juzi tu hapa nilimweleza Luhanyula faida na hasara za Bitcoin kwamba anguko la cku moja tu linaweza kukufanya upite kuwapa shikamoo watoto!
Siku ikianguka namm nitanunua. I really wish that day ya bitcoin kuanguka ili nijitupe ndan
 
wanamfanyia promo nani ?
 
Aisee ulipoteza bahati. Imagine ungeweka pesa kipindi hicho Leo hii ingekuwa imemultiply how many times. ilikuwa lini kwanza?
 
Kwanza ukishaongelea Deep web tayari unazungumzia mtandao wa wapigaji.

Mimi hizi kamari huwezi kuniingiza mkenge hata siku moja ukianzia Biko mpaka hawa ambao hata hujui utawakamatia wapi.
 
sema ndo hvyo hii btc haitabiriki ni lini itaanguka but that time ungejitupa ndani bila kusita hakika Leo hii ungekuwa unazaid ya Mil 30 kama ungenunua 1btc
Aliyekuwa anatushawishi bado naina naye hana tofauti na alivyokuwa.
 
Lbd bado hajaziuza anasubiri zikue zaidi. Mshauri auze mapema kabla mambo hayajachange
Ni kweli maana huu mchezo nao ni upatu. Mara nyingi wanaoingia mwanzo ndo wanapata. Na ukichelewa zaidi inakula kwako
 
buy low, sell high.
ni wakati wa kununua kama momentum rsi na avr vimeruhusu, vinginevyo ride the trend!
 
unatujazia server na ma article yako ya kipuuzi tu
 
Acha kujikweza ju.ha wewe tangu lini umekuwa na ubia na wamiliki wa JF? Mbona MODS hawajawahi kuandika kitu kama hiki? Utaahira wako mwisho lumumba siyo humu.

unatujazia server na ma article yako ya kipuuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…