Stay away from Bitcoin crazy

Shukuru Mungu Mkuu.

 
Shukuru Mungu Mkuu.
Ahsante. Ila baadae akajiingiza mke wangu kwenye D 9. Nilimkataza hakutaka kunisikiliza. Matokeo walipata hasara na serikali kuipiga marufuku. Kila siku walikuwa wanadanganywa boss wa D 9 anakuja na ndo anasubiriwa. Mwishowe walijua kwamba ndo wameliwa.
 
Reactions: BAK
Andika unachokijua wewe kuhusu hio Coin sio kutoa Povu na Copy and paste mawazo ya watu wengine
 
Naumia sana watu wanavyolizwa na haya maupatu.. Bitcoin, unregulated Betting na online Foreign exchange markets.

Naamini tutakuja kujuta mwisho kabisa tukiwa na njaa pesa hakuna... Imepungua katika mzunguko.. Na hii gaming board na serikali kwa ujumla wake ..watajibu tuhuma kwa kizazi kijacho.
 
Acha upumbavu wewe! Ndiyo sababu kuna wataalam mbali mbali katika kila Sekta muhimu duniani. Na wao ushauri wao husikilizwa kutokana na uzoefu mkubwa waliokuwa nao kwenye sekta husika.

Andika unachokijua wewe kuhusu hio Coin sio kutoa Povu na Copy and paste mawazo ya watu wengine
 
Acha upumbavu wewe! Ndiyo sababu kuna wataalam mbali mbali katika kila Sekta muhimu duniani. Na wao ushauri wao husikilizwa kutokana na uzoefu mkubwa waliokuwa nao kwenye sekta husika.
Sasa wewe hujui kitu waite hao watalamu tuongee nao kwa Hoja sio wewe Kilaza usio na Abc juu ya hili, Yani ni sawa wewe uagizwe kusemea mambo ya Engineering wakati umesoma Political science, Pathetic
 
Aliyekwambia sijui kitu ni nani ZWAZWA wewe? Unanijua mimi? Unajua niko katika fani ipi? Aliyekudanganya nimesomea political science ni nani mburula wewe? Au kwa kuwa naandika sana kwenye jukwaa la siasa? Acha kujibaraguza unanifahamu wakati hujui lolote kuhusu mimi mpuuzi mkubwa.

Ficha upumbavu wako hadharani.

Sasa wewe hujui kitu waite hao watalamu tuongee nao kwa Hoja sio wewe Kilaza usio na Abc juu ya hili, Yani ni sawa wewe uagizwe kusemea mambo ya Engineering wakati umesoma Political science, Pathetic
 
Ona sasa unavyotokwa na Povu sasa nikujue wewe utanisaidia nini kwa mfano? Afu Hio ya Engineering na political science nimetolea mfano sasa nashangaa mfano ndio unaubeba kama maudhui na kuutolea Povu, Wewe tulia kule kwenye siasa tu ukiendelee kumtolea Povu Mheshimiwa JPM huku kwa Bitcoin tuachie Wenyewe.
 
Kwa akili yako fupi huwezi ukaja na mfano mfu wakati hujui lolote kuhusu mimi. Ndiyo tatizo la kukurupuka kutaka kujibaraguza unanijua wakati hujui lolote kuhusu mimi au fani ambayo naitumikia. Acha kukurupuka na kurukia watu usiowajua kwa kupiga ramli zako.

Kama hujui kitu kwenye mjadala husika pita kimya kimya ili kuficha ujuha wako.

Na humu ndani huna mamlaka yoyote yale ya kumuamulia yeyote yule nini aandike au asiandike. Acha kujikweza kama vile una ubia na wamiliki wa JF.

 
Mujini ujanja ujanja Mkuu. Watu wameshatengeneza mabulungutu kupitia hii kitu, ila kama watu wengi watalizwa katika nchi nyingi duniani wanaweza kumfungulia mashtaka muhusika/wahusika ili wafilisiwe.

Identity ya muasisi wa Bitcoin haijulikani! Ana jina la kijapan but sura haijulikani!
 
Hahaha wewe jamaa huna lolote sasa nikujue wewe ili iweje sasa? Hujui hata mantiki ya kutumia fake ID? Next time uache kuokoteza Articles na Kuzi paste umu bila ata kuzipitia, Uache ujuaji wa kila kitu ambavo huvijui kaa kimya tuu.
 
Ndiyo tatizo la akili finyu, wapi nilipoandika mie najua kila kitu mburula wewe!? Huwa sikurupuki ninapoandika chochote humu. Na vile ambavyo sivijui kwa taarifa yako pimbi wewe huwezi kuniona huko hivyo acha uongo wako wa kudai kwamba mie nimewahi kuandika najua kila kitu. Eti tuachie Bitcoin yetu! Bitcoin yenu wewe na nani taahira wewe? Hivi unajua madhumuni ya JF kuwepo?

Narudia tena ujuha wako kaa nao mwenyewe siyo humu.

Hahaha wewe jamaa huna lolote sasa nikujue wewe ili iweje sasa? Hujui hata mantiki ya kutumia fake ID? Next time uache kuokoteza Articles na Kuzi paste umu bila ata kuzipitia, Uache ujuaji wa kila kitu ambavo huvijui kaa kimya tuu.
 
Anyway wewe unanilia tu muda wangu unajua kama unaoga mtoni kichaa akachukua nguo zako then ukaanza kumkimbiza basi unaemkimbiza ndo unaonekana chizi. wacha nikuupuze
 
Uache kukurupuka jua madhumuni ya kuwepo JF. Jua mipaka yako humu badala ya kutaka kujikweza kama vile una ubia na wamiliki wa JF kutaka kuwaamulia watu nini waandike au wasiandike. Huna mamlaka hayo humu, kupashana habari humu kuna umuhimu mkubwa sana ili kuwajuza Watanzania mambo mbali mbali duniani kupitia kwa wataalam waliobobea Kwenye sekta husika.

Anyway wewe unanilia tu muda wangu unajua kama unaoga mtoni kichaa akachukua nguo zako then ukaanza kumkimbiza basi unaemkimbiza ndo unaonekana chizi. wacha nikuupuze
 
Bitcoin and other cryptocurrencies haziwezi kufa but zitapitia mapito magumu sana mpaka ifike level ya kuwa standard medium of exchange ya dunia.

Cryptocurrencies ziko very volatile for various reasons but the major one being hizi cryptocurrencies ni decentralized and unregulated. Yaani ziko free kupanda au kushuka thamani bila kuingiliwa na serikali au taasisi yoyote!

Aidha, cryptocurrencies zinatumiwa na watu wengi sana kutengeneza utajiri wa haraka kwa kutumia speculation and arbitrage. Hii inasababisha bitcoin (major cryptocurrency so far) iwe na demand kubwa kuliko supply kwa sababu kila mtu anataka aimiliki for wealth creation through speculation. Financial instrument za aina hii zina tabia ya kutengeneza kitu kinaitwa BUBLE (kama povu la sabuni) kwasababu imebeba thamani ambayo kwa kiasi kikubwa ni hewa (yaani si thamani halisi). Shida ya buble ni kwamba it must bust one day isiyo na jina! Kwanini buble inapasuka? Kwasababu kuna taharuki fulani inaweza kutokea sokoni itakayosababisha kila mtu atake kuuza bitcoin zake. Hii itapelekea kuwe na sudden oversupply itakayosababisha bei ya bitcoin ishuke kwa kasi ya ajabu(sometimes to zero) na ikashindwa ku-recover mazima coz watu watakuwa wamepoteza kabisa confidence na hiyo bitcoin! Ili kuinusuru itabidi certain international body (say IMF) iingilie kati kwa kujaribu kui-regulate. But regulation ya bitcoin itapoteza ile dhima yake ya kutumika kama speculative financial instrument and thus huwezi tena kuitumia kutengeneza utajiri ya haraka! Hapo ndiyo itarudi kuwa kama conventional currencies kama TZS na US Dollar!
 
I agree with you by a 101%
 
BaFin, European Union
There’s been a string of warnings by regulators for investors in digital coins.

“We are seeing a rapid rise in value, which hides the risk of rapid losses,” Bundesbank board member Carl-Ludwig Thiele said in a Euro am Sonntag report. He said there is a wide debate going on about the use of digital central-bank money in a closed system, but that he doesn’t currently expect it’s introduction.

Felix Hufeld, president of German banking supervisor BaFin, advised consumers that trading in bitcoin would produce “bitter losers” and could result in a “total loss,” in an interview with German newspaper Bild.

EU Warning
That echoed comments three days ago by the European Union’s financial-services chief, Commissioner Valdis Dombrovskis, who asked the heads of the EU’s three financial supervisors to update their warnings to consumers “as a matter of urgency” in light of recent market developments, according to a letter seen by Bloomberg.

In past years, central banks and the commercial lenders they oversee have made strides to curb money-laundering through greater transparency rules, only to see anonymous transactions explode in the nascent cryptocurrency industry -- under names like Verge and Zcash. Their admonishments this month haven’t stopped double-digit rebounds.

“Huge rises and sudden, spectacular setbacks wouldn’t surprise me going forward,” ADM’s Ostwald said. “The worry is going to be, at some point, the pips are going to start squeaking.

Retail investors losing money will ask, ‘Why aren’t you intervening to help me? And the answer is going to be, ‘Well, this is a casino. On your head, be it.’ ”

For related news and information:
XBT Curncy GP <GO>
VCCY <GO> for a cryptocurrency monitor

— With assistance by Katharina Rosskopf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…