ngosha mchele
Member
- Dec 7, 2014
- 71
- 40
Huyo wa 1 noma inaonekana kaelemewaKuna jamaa kaandika
(1)Eloi eloi lama sabaktan
(2)kazi ni kipimo cha utu
(3)At work
Sijui wamepatwa na nini ndugu zangu hawa.
Acha mchezo ndugu yangu yaani kuna siku huamua kusoma status za watu nabaki kucheka kuna mmoja kaandika hivi "ndie huyu? ??"sasa mpaka uwe na uwezo wa kufungua akili ndio uelewa hilo puzzleHuyo wa 1 noma inaonekana kaelemewa
hatari sanaAcha mchezo ndugu yangu yaani kuna siku huamua kusoma status za watu nabaki kucheka kuna mmoja kaandika hivi "ndie huyu? ??"sasa mpaka uwe na uwezo wa kufungua akili ndio uelewa hilo puzzle
Tutakuwa tumekufwaaa?HADI KUFIKIA 2020 NAAMINI WATANZANIA WOTE TUTAKUA TUMEMRUDIA MUNGU