Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,691
- 55,976
Status ya watu wengi sana, nikupe pole na Mungu akutie nguvuKwa nje Nina furaha ila ndani ya moyo ni Moto mkali Sana. Mungu nisaidie
Status ya watu wengi sana, nikupe pole na Mungu akutie nguvuKwa nje Nina furaha ila ndani ya moyo ni Moto mkali Sana. Mungu nisaidie
😂😂😂😂🙌🙌🙌 Mtalaam wa phy umekua tofauti kabisa....Jamii hazifanani elezea jamii ipi halafu haujajibu swali ujue...😎
Haha! okay basi tumia ila sio kwa ubaya!😂😂😂😂🙌🙌🙌 Mtalaam wa phy umekua tofauti kabisa....
Mi naimani nafata yale yote utendayo maana nipo katika kipindi ambacho bila masaada wa watalamu sitoboiHaha! okay basi tumia ila sio kwa ubaya!
wataalum gani mbona kama mafumbo mengi hivi..!!!Mi naimani nafata yale yote utendayo maana nipo katika kipindi ambacho bila masaada wa watalamu sitoboi
Wewe ni mtalaam..wataalum gani mbona kama mafumbo mengi hivi..!!!
Yeah unakuta mtu amepambana sana kujitafuta, pale anaanza kujipata sasa ili afurahie mafanikio yake ndio mzee baba ziraili anakuja chap🤣🤣🤣Ila hili suala la kufa mi huwa linanifikirisha sana hasa nikipita makaburin au nikumbuke watu ninaowajua ambao wameshakufa
Sina maana ya kukuvunja moyo ila yasome na yatafakari mambo ya sayansi kama hobby!, wachache wanaweza kuitumia sayansi kuwaingizia vitita vya fedha!.. so kwa maarifa keep it up..Wewe ni mtalaam..
Sasa hv nipo nasoma astronomy mkuu japo sio in deep
Explain pleasekwangu mimi ni 70/30
Pole sana mkuu, yatapita wala usijaliNapita tu, problem is my A.K.A
Siti ya mbele😅😅Me hata selewii maninaa kesho msikose kikaoni ewe jobless kituo ni Cha mkutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere ukumbi wa Kilimanjaro hall JNICC, saa nne asubuhii
Cc Intelligent businessman Selikavu min -me makutupora Thecoder dosho12
Nakubali mkuuSiti ya mbele😅😅