Status yako ya maisha kwa sasa inaashiria nini?

Status yako ya maisha kwa sasa inaashiria nini?

mimi aisee niko vizuri kimaisha mwezi wa sita nategemea kumalizia nyumba yangu ya pili kigamboni ya kupangisha na niongeze gari ya tatu mwezi wa kumi lakini nina huzuni kazini kwangu nafatiliwa sn kwamba mm n mwizi wa mali za umma iko kitu kinaniumiza moyo sn mpaka nata,mani kujiua
Bora unywe sumu kuliko kijiua
 
Screenshot_20241023_172809_com.android.gallery3d.jpg
 
Ila hili suala la kufa mi huwa linanifikirisha sana hasa nikipita makaburin au nikumbuke watu ninaowajua ambao wameshakufa
Hakuna hakuna tatizo ,tena ni salama haupati tabu kabisa.
 
-Una Furaha,

-Huzuni

-Amani ya moyo

-Unafurahia maisha

-Umevurugwa kwa sababu ya ugumu wa maisha

-Unateswa/ kufurahia mapenzi

-Madeni

-Magonjwa

-Migogoro nk

-Huna kazi

-Kipato kidogo nk

Kwa upande wangu mimi ni 50/50

Nb kwa wale ambao ni wagonjwa au wanapitia changamoto yoyote kimaisha, Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi warudi katika hali ya kawaida.
View attachment 3320835
WE say Alhamdullilah for anything 🙃🙃
 
Back
Top Bottom