Wanajf nimefungua stationary ambayo ninauza vitab mbalimbali hasa vya high school km s chand, nelcon,BS etc ila nahitaj photocopy machine, sjajua ni aina gani ndo nzur na ni kwa bei gani
wanajf nimefungua stationary ambayo ninauza vitab mbalimbali hasa vya high school km s chand, nelcon,bs etc ila nahitaj photocopy machine, sjajua ni aina gani ndo nzur na ni kwa bei gani