Statement: Positive results from Buzwagi processing trial

Sijaelewa mgodi unaenda to the end of life only 2020???? Sasa tunapambana vya nini
 
Kwahiyo serikali itakuwa inakusanya trilioni 50 kwa mwezi mara tatu ya budget yetu kwa mwaka wa fedha, tusipoona maendeleo tutawanyonya macho.
 
Sidhani kama unaelewa biashara za makampuni makubwa. Makampuni haya yanapata faida zaidi kwa ku-trade kwenye stock markets kuliko kwenye production. Production inatoa tu comfidence kwa wanunuzi wa hisa lakini siko ambako faida hupatikana.

Watu wengi kwa sababu wamezoea biashara za viazi mviringo Kariaokoo ambako faida hutegemea idadi ya magunia waliyouza, wanadhani hali ipo hivyo hivyokwenye international business.

Siyo jambo la ajabu, kwa makampuni haya, likitokea tukio moja, kama lile la JPM kuzuia conentrates, halafu kesho yake ukaambiwa kampuni imepoteza $500m. Wasiojua wanadhani hasara hiyo imetokana na zile containers! In nowadays business, to make huge profit, you play with confidence not commodities.
 
kupunguza wafanyakazi ilikuwa ni mbinu ya kumtisha magufuli.. kwamba raia wake wanapoteza ajira.. magufuli akawapotezeaaa
Mnachanganya mambo. Wafanyakazi wamepunguzwa mgodi wa Bulyanhulu. Walikofanikiwa kufanya extraction up to 85% ni Buzwagi. Two different companies although both are Acacia owned companies.

Lakini taarifa za haya makampuni makubwa unatakiwa kuzipokea kwa tahadhari. Wana targets zao, wapo tayari kuonesha unyonge alimradi tu wafikie target. Wakishaifikia utashangaa utakapoambiwa, mwezi ujao tunafunga biashara.

Watakachopigania ni kutokupata hasara. Barrick kama kampuni, tangu ianzishwe haijawahi kupata hasara. Kuna hasara zinapatikana kwenye individual operations but as a whole company had never realized any loss. 'While others were perishing, we were fluorishing', hiyo ilikuwa statement ya Barrick President.
 
Accacia are bunch of crooks and pirates.Why cant government give them one way ticket to Canada to freeze in ice?
Why did it take too long even to carry out small scale trials when the public was complaining for 18 years?Its not they did not know the way to do it.The basic simple reason they underated IQ of Tanzanian presidents until came a first scientist president Dr Magufuri.
Accacia dont maufacture processing plants but such plants are many,you might be surprised why they are just running fast to put processing plant at speed of lightining ?Shame on you dudes.
 

Kwenye red: Naelewa na ndio maana narudia kukuliza a very specific question, kama wanafanya production ya dhahabu 65% hapa nchini na biashara hiyo haijazuiwa ila kilichozuiwa ni makinikia, kwanini wanayumba kibiashara?

Kwenye red: Typical cowboy rhetoric. Kama quell issue ni confidence inayotokana na production why then wameyumba wakati production ya gold was not affected na hatua ya serikali? Au confidence iko zaidi kwenye production ya Makinikia kuliko production ya dhahabu?
 
Hivi hatujiulizi pamoja mikwara yote hili shirika halijatangaza hasara kwa wana hisa wake? Kila tunachoamua kwao ni fursa, mumezuia makinikia wamepunguza wafanyakazi kiulaini na mtambo wa makinikia wamezima, 2020 dhahabu imekwisha wanatimua bila kufukia shimo lao. Imekula kwetu mazima
 
Hawa wazungu wanahujumu nchi kijanja, wanawafukuza kazi vijana na watumishi wa kada za chini ambao hawana uwezo wa kupata ajira kwingine

wahandisi na watu wenye ujuzi wa juu wanaachwa maana yake wanaongeza foleni katika dirisha la nssf na kujenga chuki dhidi ya serikali yao

2020 wanakomelea tena msumari mwingine kwa kufunga mgodi wa buzwagi, hapa ccm msitafute mchawi ramli nimeshapiga tayari
 
70% fedha za kigeni?? Takwimu zako zipo sawa kweli? Maana hio utalii unachangia chini ya 30% ya fedha za kigeni?? Hizi takwimu si sawa.
 

Sijakuelewa hii post ya Accacia na coment yako
 
Wewe ndio hujui ninachomaanisha mimi. Get a big picture u will understand what is behind my comment. Mimi ni zaidi ya unijuavyo hapa jf, nipo kwa ajili ya maslahi ya nchi na nipo pamoja na serikali yangu. Ongeza uelewa, utaelewa nini ninamaanisha.
Naomba nikushauri kitu kimoja huitaji kujieleza sana apa JF coment yako inakudefine...kitendo cha kujieleza who u are tayari ni udhaifu. ..hauitaji kutisha watu au kujieleza sana matendo na maneno yako yanatakiwa kukueleza. ..usiseme una pesa acha watu waseme una pesa kwa matendo yako ila sizungumzii pesa za wizi na ujanja ujanja namaanisha pesa halali zilizolipiwa kodi ili Watanzania wa kipato cha chini Kule kijijini na mijini wapatiwe matibabu....watu wengine wakikupa Cv zao utadelete account yako ya JF
 
Sijazungumzia swala la pesa, sorry kama nimekuudhi.
 
Kwa hiyo wameiba wakijua wanaiba !?......kwa udhaifu wa muibiwa ?
Mpaka uwe nyumbu, ndio utasupport huu ujinga !
 
Ni kweli dhahabu nyingi ipo kwenye makinikia, ila sio dhahabu nyingi ipo kwenye kontena moja. Nadhani hapa ndio kuna utofauti. Maana inabidi uzalishe mokontena mengi ili uipate dhahabu yako yote. Ni uelewa wangu
Naona unapima malaria kwa macho ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…