Ni mwendelezo wa theory ya kujigawa dunia yan continental drift. Dunia imegawanyika ktk plates za aina mbili oceanic na continental. Na plate hizo zinaelea kwenye uji uji uliopo kwenye zone inayoitwa athenosphere. Theory hiyo inaeleza pia kwamba plates hizo huwa zinasogea taratibu Sana kutokana na sababu mbalimbali. Movement hizo zipo za kwenda pande tofouti, zinakwenda zinakatibiana na zinazopandana( hapa ni oceanic na continental zinakutana)
Madhara ya movement za plates hizo ni kusababisha kwa trech, bonde la ufa na matetemeko ya ardhi.
Ili uweze kuilewa vzr theory hii inabidi uisome na kuilewa vzr continental drift, kisha ndo usome plate tectonics na mwisho ocean floor spreading. Maana kila moja ni muendelezo wa nyingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.