Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,584
Mbona unapenda kutumia maneno makali?...Ukitumia maneno ya kawaida tuu watu watakuelewa than kuanza name-calling!,....that is so low OPP trust me.....kwa mtu msomi kama wewe hupendezi....i am very serious about this....
Calling Obama a looser ni kama kumtusi mungu wako....the guy has done nothing bad...than kutaka maendeleo kwa wewe,mimi ,yule na yule....
Kwanza kabisa mimi sio msomi. Sijasoma na nimeishia A-Level tu na nikapiga vikozi mbuzi vyangu nikamaliza.
Pili, wewe pia ni mnywa kool-aid. Hujaona MaxShimba alivyowaita Republicans 'loosers'. Umeona mimi tu niliyemwita Obama looser. Na kumwita mtu looser sio tusi na haifanani na kumtusi 'mungu' unless wewe unamwabudu na kumhusudu sana Obama kiasi cha kumwona 'mungu'.