pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
- Thread starter
-
- #21
Najaribu kupiga picha rais Xi Jing Ping akiwa ameketi hapo ofisini. Alafu mzee anachokora chokora hapo mezani kwa hasira nyingi akimtafutia faili la korosho.Rais wetu hafanyi biashara! Hayo mafaili ni ya wahusika waliotakiwa kuchujwa kupata mawaziri 21 na manaibu 21.
Bruh...Najaribu kupiga picha rais Xi Jing Ping akiwa ameketi hapo ofisini. Alafu mzee anachokora chokora hapo mezani kwa hasira nyingi akimtafutia faili la korosho.
Najaribu kupiga picha rais Xi Jing Ping akiwa ameketi hapo ofisini. Alafu mzee anachokora chokora hapo mezani kwa hasira nyingi akimtafutia faili la korosho.
ndo maana kenya huingizwa kwenye madili ya mkenge!
ndo maana kenya huingizwa kwenye madili ya mkenge!
Hauwezi kuilinganisha tz n Kenya bro. Katika karibia shule zote za public za serikali n baadhi ya few public primary schools all over the country Kuna office ya rais n ya waziri mkuu. Iwapo waziri au raisi akuhudhuria hafla yeyote katika eneo lolote, basi ataitumia ofisi take ya karibu iliyopo katika shule yeyote ya karibu zaidi.In my opinion, must be a true reflectoion of the state of the nation and in extension its policies and aspirations. Unlike staged colourful speeches, chest-beating declarations and rehearsed public appearances. Just the raw image of a leader(or any man/woman), at his element, in his official 'personal' working space. Harambee House, Harambee Avenue, Nairobi.Ikulu, Chamwino, Dodoma. 😁😁😁
ndo maana kenya huingizwa kwenye madili ya mkenge!
Even lands offices were digitalized. Huwezi kuta such level of confusion in most lands offices in the country today.Hahaha kunakaa ofisi ya lands bana
Kwa hivyo ofisi ya Rais wa nchi iwe hivyo kisa anabana gharama! No uko tu serious while saying this?! You never run out of excuses you peopleHuyu mwamba atawanyoosha kende.
sijui ni kipi kinakufanya wewe mwananchi wa kawaida kufurahia ofisi ya gharama ya uma?
What obsession? Kwa hivyo hizi nyuzi zote mnafungua kuhusu Kenya is because mko obsessed na Kenya?Mahn, the obsession is real
Buda hiyo ni ofisi ya muda hapo capital city ulitaka iweje!Kwa hivyo ofisi ya Rais wa nchi iwe hivyo kisa anabana gharama! No uko tu serious while saying this?! You never run out of excuses you people
Don't you know how good they are at giving excuses?Eti gharama? Mpangilio simpo tu wa vitu ofisini, kama 'filling' na majukumu madogo madogo ya secretary ndio unasema ni gharama?
Is that really the face of socialism? Lack of any identifiable order and untidy workplaces even at the highest office in the land? I always thought otherwise, no wonder Tanzania's version of socialism was a total failure.THE DEFINITION OF A SOCIALIST. " A WELL EDUCATED POOR PERSON"!
My friend, do not defend the indefensible. Let's assume that's a temporary office as you say, what does it take to take care of simple things like filing documents in a proper manner? That's the office of the President of the United Republic of Tanzania until a better one is found.buda hiyo ni ofisi ya muda hapo capital city ulitaka iweje!!!!
sisi tunatumia akili kwa kila jambo,sio watu wa kwenda kwenda tu.
By the way, if it's about gharama si angefanya tu kazi chini ya mti akingoja ujenzi wa ikulu ikamilike. In that way, angesave pesa nyingi za watanzania hata zaidi 😂Sasa mbona mzee amepigia picha hapo ofisini? Kwahivyo anajengewa nyingine ambayo sio ya gharama? Badala ya kubana matumizi na kufanyia kazi yake chini ya miti au hata kwenye balcony?
Kwa hivyo huku kwetu Uhuru hadeal na files? Au point yako ni nini?Hauwezi kuilinganisha tz n Kenya bro. Katika karibia shule zote za public za serikali n baadhi ya few public primary schools all over the country Kuna office ya rais n ya waziri mkuu. Iwapo waziri au raisi akuhudhuria hafla yeyote katika eneo lolote, basi ataitumia ofisi take ya karibu iliyopo katika shule yeyote ya karibu zaidi. In kenya, president hana ofisi yeyote ya dharura. Ikitokea atavisiti eneo lolote, basi atatumia ofisi za county government au za viongozi wa eneo hilo, au anaweza asitumie kabisa ofisi.
Kwanini ninaomba usiilinganishe tz n Kenya haswa kwenye jambo kama hili? Sababu maraisi wetu wana hulka ya kendra kusikiliza masaibu ya wananchi katika vijiji vyao. Hivyo, katika kila kijiji, wilaya n kata raisi wa tz ni lazima awe n ofisi za dharura. Kwaivyo ikitokea raisi anaenda eneo lolote kusikiliza masaibu ya wananchi, ataposikiliza kisa chochote kuachiwa a hard copy document ya hicho kisa, hizo documents ndio huifadhiwa kwenye hayo mafaili ambayo huchambuliwa n kukabidhiwa waziri husika kutatua kila jambo lenye mshiko.
Ila kwa upande wa pili hamna ofisi za dharura za raisi, mtaelewaje kinachoendelea au umuhimu wa hizo ofisi, hayo mafaili?
kama mgeni anakuja kukagua mpangilio wa mafile basi hatakuja but gues what,My friend, do not defend the indefensible. Let's assume that's a temporary office as you say, what does it take to take care of simple things like filing documents in a proper manner? That's the office of the President of the United Republic of Tanzania until a better one is found. The highest office in Tanzania. Is it okay for it to be in this level of chaos and confusion? How about digitalizing operations in that office to avoid chaos in that table in front of him? Does he even welcome high-level visitors with pride in that office? And what image does that portray about Tanzania?