Stashahada ya sanaa katika tume huru

Junior. Cux

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
5,319
3,767
Hivi wapi ntapata hii stashahada, maana naona tume huru zimezidi inaonekana inalipa sana hapa tz...
 
dah,dah...we kijana umepotelea wapi aisee?...mungu wangu,huyu mwana mpotevu aliwekwa ndan na jimama leo katokea

hahahahaha we acha tu, nlikua mufindi kwenye m4c tukijenga chama afu watoto wa mwema wakatutimua... yule jimama c yupo hoi hospitalini cd4 imebaki moja tu
 
Wasiliana na c6 atakutengenezea. Hiyo fani ni yeye tu hapa jf. Ila malipo na mengineyo mtamalizana wenyewe. Mimi ni marketing manager wake lakini siruhusiwi kupatania bei wala kupokea fedha kutoka wa wateja. Anuani yake c6@jamiiforums.com
 
Hivi wapi ntapata hii stashahada, maana naona tume huru zimezidi inaonekana inalipa sana hapa tz...

inategemea tume huru ya namna gani! manake kama ni tume huru ya chitchat tayari stashahada unayo ndiyo maana una access humu
 
Back
Top Bottom