Stashahada ya JK

Stashahada ya JK

Hahahhahahaha mkuuuuuu duuuu!
 
Hii ilikua udom je udom ishafikia kutoa shahada ya uzamivu??? Ndo maana wana mchakachua na yeye
 
duuuuuuuuu hilo dongo, ila jk haja stuka kweli huyu ni mbumbumbu!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cant u bring us someting new?!, acha kurudia post za watu.
 
Imetulia mkuu... Bado shahada zingine zinakuja mana huyu jamaa ni muhhitimu wa kila nyanja...:blah:
 
Shahada za siku hizi
Mardadi saana, mardadi saana, mardadi saana!
Kikwete, Mkapa, wachakachuaji,
Mardadi saana

Hii kali mkuu, nitaiweka kumbukumbu kwa wajukuu zangu!
 
Back
Top Bottom