CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Naomba msaada wataalamu. Kabla ya hii kitu TCRA inaita kuzima mitambo ya analogi, nilikuwa na kingamuzi cha startimes kinafanya kazi vizuri. Walipozima mitambo ya analogi na kuwasha ya dijitali, sasa taabu tupu. Picha zinakata kata etc. What could be the remedy. Advise plse.