Mkuu Chilli.
Umeniacha hoi sana! Ndio nimekuja kupunguza stress humu, Tanga kwema mkuu. Tuna ugeni wa Azam ambao leo wamechapwa na Mgambo na Kesho wazee wa Yeboyebo wanakipiga na wagosi wa kaya.
Kule huwezi kuuliza mambo kama haya maana unaweza kujikuta unalala mgonjwa.