Nikweli kabisa zangu ila,wapandishe zaidi na zaidi, Tuendelee kutype hivi hivi jeiefuHizo nazo n akili zako
How? Kipindi kile walikuwa wanaalamishwa Local chanel ziwe free kwa kila King'amuzi lakini wakina DSTV waligoma! Ikabidi DSTV wasiwenazo kabisa, kipindi Nape anateuliwa baada kama ya wiki tu akawaruhusu DSTV kurudisha Local Chanel lakini DSTV waliendelea na kipengere chao kuwa Local Chanel nazo yakupasa ulipie ndo uzione ambapo ni kinyume na sheria, sasa basi kama Startimes nao wamenaza basi jua Azam nae atafuata wakati ilo lilishaondolewa.Inwezekana mama akawaweza
Hivi mnatarajia wapate wapi hela ya operations iwapo kila mtu anategemea free channels?Nimekaaaaa nkatafakari Kwanini ving'amzi vya startimes wameamua kuondoa kimaksudi kabisa channel zote za ndani na kubakiza channel moja tu ya TBC1.
Ukiwapigia wanakujibu wajuavyo tu bila kujua wanavunja Sheria imeniuma Sana, yaaaan ving'amuzi vyote Tanzania wanaonesha free channels ila wao wanajifanya kuvimba vichwa, huu ni mwezi wa nne Sasa toka wazifute, ohhh my Tanzania.
Tunaomba katika Hili serikali iliingilie kati channel zirudi Kwa wote watumiao startimes ili haki iwe sawa Kwa wote, Rais Samia, plse tuma watu wako ili wakalitizame na Hilo Tena Kwa uharaka zaidi.
Hata Nisipolipia Kwangu ZipoLabda kwako tu, au kama umelipia kifurushi hapo sawa.
Unaweza uka lala usiku kukikucha unaweza ukasikia mabadiliko mapyaaSio kidogo aiseeeee unaamka unakuta jambo lingine
Ata ukijidai bado KIBANO kipo pale pale yaan ataukijinover work still gharama ni pale paleMakasiriko huja pale unavyoyachukulia mambo. Jidai kama hakuna tozo wala tatizo uone kama utakasirika.