Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 77,929
- 165,288
Sisi tunaongozwa na li chama bureeeeee kabisa yaani kichwani hamna kituKwa nini mnataka vya bure?Ninyi mnawapaga Startimes kipi cha bure?Maisha ni kupeana.
Sisi tunaongozwa na li chama bureeeeee kabisa yaani kichwani hamna kituKwa nini mnataka vya bure?Ninyi mnawapaga Startimes kipi cha bure?Maisha ni kupeana.
Ni jambo jema, itasaidia kuupdate ubongo wa Watanganyika, walipe tu.Nimekaaaaa nkatafakari Kwanini ving'amzi vya startimes wameamua kuondoa kimaksudi kabisa channel zote za ndani na kubakiza channel moja tu ya TBC1.
Ukiwapigia wanakujibu wajuavyo tu bila kujua wanavunja Sheria imeniuma Sana, yaaaan ving'amuzi vyote Tanzania wanaonesha free channels ila wao wanajifanya kuvimba vichwa, huu ni mwezi wa nne Sasa toka wazifute, ohhh my Tanzania.
Tunaomba katika Hili serikali iliingilie kati channel zirudi Kwa wote watumiao startimes ili haki iwe sawa Kwa wote, Raisi Samia, plse tuma watu wako ili wakalitizame na Hilo Tena Kwa uharaka zaidi.
Halafu usijidai umejisahaulisha. Kakobe alikyambia "UTUBU"!😂😂😂😂Sisi tunaongozwa na li chama bureeeeee kabisa yaani kichwani hamna kitu
Mpe pendekezo.Matatizo unayo ww unatumiaje startimes?
Itasaidia kupunguza uzezeta,acha ukamuaji uendelee tuN haki Yao watanganyika
Kakobe nyokoHalafu usijidai umejisahaulisha.Kakobe alikyambia "UTUBU"!😂😂😂😂
Wakati wanaleta mitambo yao walikutaarifu?Mkae kwa utulivu au lipia chaneli.Hamna maujanjaujanja.Tuchezee mboko tu.😂😂😂😂Issue sio kutaka vya Bure Kwa nn star times waziondoe bila taaarfa na sababu Kwa wateja Wake huku ving'amzi vingne vikipewa free channels?
Ukiwagusa umegusa sharubu za simbaUkiwapigia wanakujibu wajuavyo tu bila kujua wanavunja Sheria imeniuma Sana, yaaaan ving'amuzi vyote Tanzania wanaonesha free channels ila wao wanajifanya kuvimba vichwa, huu ni mwezi wa nne Sasa toka wazifute, ohhh my Tanzania.
Ni nyoko mbili na nusu.Nyoko,nyoko na nyo!😂😂😂😂Kakobe nyoko