Startimes wameondoa 'free channels'

Startimes wameondoa 'free channels'

dafuzima

Member
Joined
Apr 8, 2018
Posts
92
Reaction score
67
Nimekaaaaa nikatafakari kwanini ving'amzi vya startimes wameamua kuondoa kimaksudi kabisa channel zote za ndani na kubakiza channel moja tu ya TBC1.

Ukiwapigia wanakujibu wajuavyo tu bila kujua wanavunja Sheria imeniuma Sana, yaaaan ving'amuzi vyote Tanzania wanaonesha free channels ila wao wanajifanya kuvimba vichwa, huu ni mwezi wa nne Sasa toka wazifute, ohhh my Tanzania.

Tunaomba katika Hili serikali iliingilie kati channel zirudi Kwa wote watumiao startimes ili haki iwe sawa Kwa wote, Rais Samia, plse tuma watu wako ili wakalitizame na Hilo Tena Kwa uharaka zaidi.
 
Nimekaaaaa nkatafakari Kwanini ving'amzi vya startimes wameamua kuondoa kimaksudi kabisa channel zote za ndani na kubakiza channel moja tu ya TBC1.

Ukiwapigia wanakujibu wajuavyo tu bila kujua wanavunja Sheria imeniuma Sana, yaaaan ving'amuzi vyote Tanzania wanaonesha free channels ila wao wanajifanya kuvimba vichwa, huu ni mwezi wa nne Sasa toka wazifute, ohhh my Tanzania.

Tunaomba katika Hili serikali iliingilie kati channel zirudi Kwa wote watumiao startimes ili haki iwe sawa Kwa wote, Raisi Samia, plse tuma watu wako ili wakalitizame na Hilo Tena Kwa uharaka zaidi.
Serikali haitakiwi kuingilia.Lawama zote ziwaendee CHADEMA!😂😂😂😂
 
sikilizeni redio kama hamuwez bei za ving'amuzi ukisikiliza bbc dw vipindi vyao asubuh mchana na jioni unapata taarifa za ulimwengu mzima kama ni movies lipia netflix umemaluza mchezo
Hilo ni wazo lako mkuuuu,
 
Back
Top Bottom