Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,552
Ivi ni Mimi tu au.
Maana Leo nafungua TV nakuta Chanel mpya tu ndo zipo.
Ukijumlisha na chalel ya taifa. TBC. hizi zingine Zote, itv, startv,chanel 5,clous,chalel 10.zooote hazionyeshi.
Sijui Hawa star times wanafikiria nini na uchumi ulivyobana hivi.
Chanel E, TABIBU, NA TV1mkuu hizo mpya ni zipi? Ziorodheshe hapa ndugu.
AsanteAcha kulalamika hapa, wapigie simu startimes ujue tatizo nini, unakuja kulalamika hapa ili iweje sasa. wewe ni sawa na mgonjwa badala ya kwenda hospital unakimbilia kunung'unika. Mimi natumia king'amuzi cha startimes hakuna chanel mpya hata moja leo. piga namba zao 0764700800 au 0677700800 wanapokea fasta within 20 seconds
una mda gani hujalipaIvi ni Mimi tu au.
Maana Leo nafungua TV nakuta Chanel mpya tu ndo zipo.
Ukijumlisha na chalel ya taifa. TBC. hizi zingine Zote, itv, startv,chanel 5,clous,chalel 10.zooote hazionyeshi.
Sijui Hawa star times wanafikiria nini na uchumi ulivyobana hivi.
Kingine ni kipi uniuzie mkuu?Kati ya ving'amuzi vi4 nilivyoviweka kabatini,iko kimojawapo.
Kipo Zuku,Digitek,Continental na hao Startimes,kuhusu kukuuzia,ngoja nimcheki wife maana yeye ndio store keeper.Kingine ni kipi uniuzie mkuu?
Sijawahi kulipia tangia ninunue na huhuu ni Kama mwaka wa tatu. Na Leo usiku wananitumia SMS kwamba nimepata offer ya kifurushi cha mambo ndani ya Siku tano. Na zimegunguliwa kweli.una mda gani hujalipa
mkuu hyo 51e ndo napata chanels zipi?karibu sana ktk ulimwengu wa ftt(free to air) hatuna shida hizo sisi
basi walikusahau na sasa wamekukumbuka kalipie zote utazionaSijawahi kulipia tangia ninunue na huhuu ni Kama mwaka wa tatu. Na Leo usiku wananitumia SMS kwamba nimepata offer ya kifurushi cha mambo ndani ya Siku tano. Na zimegunguliwa kweli.
Kipo Zuku,Digitek,Continental na hao Startimes,kuhusu kukuuzia,ngoja nimcheki wife maana yeye ndio store keeper.
51 kuna kwese tvmkuu hyo 51e ndo napata chanels zipi?
Hata silipi. Nauchuna tubasi walikusahau na sasa wamekukumbuka kalipie zote utaziona