pole , amia Azam tv.
pole , amia Azam tv.
Kumbuka hii awamu 5 yenyewe inataka ulipie ili ikusanye kodi, Kenya hawafanyi hayo, kwani Kenya kuna ving'amuzi vya free to air yani Local channel na bahazi za nnje zinapatikana bure
nchi yetu sijui tumelaaniwaKumbuka hii awamu 5 yenyewe inataka ulipie ili ikusanye kodi, Kenya hawafanyi hayo, kwani Kenya kuna ving'amuzi vya free to air yani Local channel na bahazi za nnje zinapatikana bure
ndiyo hvyo startimes wanakera, asa uchaguzi ni wako kero zao ama gharama.asant tatizo la,azam ni ghali
azam wapo vzursina hamu kabisa na startimes , na mtu akitaka hicho king'amuzi nampa bure.Nilikuwa nalipa 30,000/ vipindi vya ovyo kabisa siku zenyewe baada ya kumi wamekata mpaka TBC na kukuachia TV 1 pekee. sasa niko Taifa kubwa AZAM TV nalipa 28,000/ vipindi bwerere na siku mpaka unapata na za motisha.
Nieleke wap kaka nije kuchukua utakuwa umenisaidia mnosina hamu kabisa na startimes , na mtu akitaka hicho king'amuzi nampa bure.Nilikuwa nalipa 30,000/ vipindi vya ovyo kabisa siku zenyewe baada ya kumi wamekata mpaka TBC na kukuachia TV 1 pekee. sasa niko Taifa kubwa AZAM TV nalipa 28,000/ vipindi bwerere na siku mpaka unapata na za motisha.
Angalia ulichagua kifurush gan ..usikute umejiset kwenye uhuru ww unaweka wlfu 12 lazima uone wik mbili badil kwanza kingamuz chake kiwe cha mambocha nyota kinakaa wiki 2 kwangu
Jiunge na Azamnchi yetu sijui tumelaaniwa
Azam kiwango cha juu Cha kawaida ni shs 28,000.Na ukikosea ukaweka shs 30,000 hiyo 2000 iliyozidi utakutana nayo mwezi unaofata,. haipotei.kusema ukweli wanajitahidi.Inawezekana baada dstv ni wao.Tatizo Lao hawana channel nzuri za wanyama Kama Natgeo wild,au Discovery animals planet.ndiyo hvyo startimes wanakera, asa uchaguzi ni wako kero zao ama gharama.
Wangekuwa na OTA kama azam zingesha kwenda na maji hizo chanel, azam kila baada ya muda wanafanya software update.Mi star times nimewachoka pia lakini cha kwangu hawakati local channel napata zote bure