Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

.
natumia king'amuzi cha antena but from february 6 2019 channel 68 uki play inakuja smartcard error wakati star guide pamoja na clouds tv zinaplay vizuri na kadi imesetiwa vizur.naomba kuwasilisha.

ARUSHA NJIRO
 
Nina wiki 3 channels zote zimepotea baada ya kununua kifurushi, inaonekana TBC1 na Guide tu. Nimeshawapigia simu sana na kuwasiliana nanyi lakn hakuna suluhisho.

Msaada tafasali. 02035760135
 
Nina wiki 3 channels zote zimepotea baada ya kununua kifurushi, inaonekana TBC1 na Guide tu. Nimeshawapigia simu sana na kuwasiliana nanyi lakn hakuna suluhisho. Msaada tafasali. 02035760135
pole kwa usumbufu unaoupata, tafadhari fika na king'amuzi chako katika duka la startimes lililo karibu nawe kwa msaada zaidi
 
.
natumia king'amuzi cha antena but from february 6 2019 channel 68 uki play inakuja smartcard error wakati star guide pamoja na clouds tv zinaplay vizuri na kadi imesetiwa vizur.naomba kuwasilisha.ARUSHA NJIRO

habari yako, chanel ya starguide hata ukitoa kadi yako itaendelea kuonyesha, tafadhari chomoa kadi, ifute kwa kitambaa laini kikavu kisha ichomeke tena, chipu ikitangulia ikitazama chini. endapa tatizo litaendelea fika ofs za startimes pamoja na king'amuzi chako ukiwa na kadi yako pia kwa msaada zaidi
 
Star times ya FTA tsh ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm NI hivyo nshafuta imekuwa Bure nimekichoka haisaidii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nishaliwa dekoda yngu ya startimes ilikua inascratch fundi akasema mbovu hadi leo haijarudi na nimelipa gharama nyingi bila mafanikio nashauri linapotokea tatizo wateja wote tujulishwe kwa msg kuwa ni tatizo la kimfumo.
 
Mimi lalamiko langu ni NBA TV. Kwanini mmeiondoa ? Sisi wapenda NBA tutazame wapi ?

Fanyeni kutufanyia mpango wa NBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…