David Tito
Member
- Sep 6, 2018
- 7
- 6
king'amuzi changu kimeharibika sehemu ya kuchomeka antena naweza kubadilisha kingine au lazima kununua kipya na gharama zake zinakuwajeHabari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
wanababaisha sana, ule mkwara wa waziri naona ilikua nguvu ya soda. mm kingamuzi nlichonunua kikiisha wanakata hata TBC nkiwaambia wanasema watalishughulikia nimeamua kuachana nacho kabisa sitaki hata kukisikiaNinyi startimes ni wa hovyo sanaaa haiwezekani mpandishe gharama za kifurushi cha nyota kwa siku chache tu ....
Washeeeeeeenzi sanaaa ninyi ,
Natamani sanaaaa hata niwatukane matusi yaleee makubwaaaaa sanaaa sema nawaogopa mods....
xBei zenu zinaanzia kiasi gani?
Mlisema mtaonyesha UEFA, mbona hakuna kitu? Kweli TZ shamba la bibi wajanja mnajivunia vyenu kwa ulaiiini
Aisee Star Times jiangalie sana suala la kupandisha bei ya vifuurushi vyenu otherwise watu tutawakimbia na kwenda kwenye huduma nafuu na bora sehemu nyingine. Vifurushi vinapanda bei kila siku wakati ubora wa huduma upo chini kupita maelezo. Eti sasa hivi kifurushi cha kawaida tu mnatutaka tulipie shilingi Elfu Ishirini na Moja (21,000) kwa mwezi. Hiyo si hela ya kulipia pango la nyumba kabisa! Halafu kifurushi kikiisha hata TBC Taifa huipati. Siwezi kumshauri mtu anunue madishi na antenna zenu. Upuuzi mtupu!