Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote.

Naishi dar. naomba namba ya huduma kwa wateja. zilizopo mtandaoni hazipatikani
 
King'amuzi changu kinaonyesha kwa mkatiko mpaka nimeamua kutumia continenental nimeshapeleka malalamiko yangu kwingi tu lakn hakuna mafanikio. Boresheni huduma zenu kwan matatzo yako mengi sana,
 
King'amuzi changu kili haribika yaani kilikuwa kinaweka namba 8888 and then hakipeleki signal, nikakipeleka hapo karikaoo msimbazi wananicharge 20,000 kikapona, lakini nikafika home remote haibadilishi channel nikadhania tatizo ni remote nikaazima kwa mtu hola nikaitest remote yangu ipo sawa hapo nifanyeje na ni zaidi ya two years now nashindwa kukitumia sababu ya remote tu.
 
Mbona decorder yenu ya dish haina channels za kenya?? Naitwa Lazaro nipo Bunda Mara
Startimes dish haina channel za kenye.kwa sasa ni muda wa uchaguzi kenya..jitafakarini...watu wengi watahama..

Mmejaza channel za uganda tu..hata channel moja ya kenya hakuna...kama hamuwezi toa huduma semeni

Huduma ni mbovu kupita kiwango
 
Startimes mwezi huu bila kuweka channel za kenya natangaza kuhama rasmi...maaana DSTV wanazidi kuweka huduma cheap...

Kenya ni kipindi cha uchaguzi..tunaomba channel za kenya..citzen..ktv..ntv


We are tired with ur customer care
 
Nimenunua flat screen ya nchi 24 iliyounganishwa na king'amuzi decoda no.29422816408004744 na kadi no 01819395449 toka jumamosi lkn mpaka leo inashindikana kusajili kwasababu za kiufundi jamani star time muwe na huruma mungu anawaona ninashauri kama kweli mmepania kufanya biashara yenye ushindani basi muwe serious nipo njia panda
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote.



naomba kufaham tv nchi 43 isotumia king'amuzi ni bei gani na pia ni channel gan zionekanazo?
 
mmetukatia channle zote imebaki moja tuu ambao haieleweki kabisa, muda wote ni vipindi recorded vya kizungu, taarifa ya habari haijulikani ni muda gani, masaa yote ni ma basket ball ya marekani, asubuhi wakati wenzao wanaangalia nci imeamkaje kwa matukio ya kwenye magazeti na taarifa za habari wao ndio kwanza wameweka mikanda ya PGA bila kujali wakati huo watoto wanakuwa wameamka.

Nadhani hii ndio tv ambayo wafanyakazi wake hupunzika masaa mengi kuliko Tv zote duniani maana wakishaweka mamikanda kuna nini tena?
 
Star times mmefeli sana ku introduce ving’amuzi vyenu vikiwa na na indoor antenna huku mkijua signal strength yenu ni ndogo sana. Watu wanahangaika sana maana wanatumia antenna za ndani.

Mm nashauri muongeze nguvu kwenye mawimbi yenu dar nzima ili kukwepa lawama kama hizi. Pia sipendi matangazo ambayo huwa yanapita juu ya luninga yangu. Badala yake mtume msg. Kama inavo onyesha remote controller kuwa kuna inbox ya kupokea msg. Pia decoda yenu inakera sana inapenda ku update channel mara kwa mara hivyo kupelekea kuaribu mfumo mzima jinsi nilivyo panga.

Mf. Nimepanga chennel 1. ITV. 2. Star TV. 3. TBC. 4. Ch. 10 and etc. Decoda ikisha update tuuu inavuruga utaratibu wote. Pia kuna option ya radio kweny decoda yenu lakini hakuna hata moja inayo shika. Rekebisheni hayo mambo kwanza
 
yaani. STARTIMES mnakurupuka sana mnaleta TV zenye Ving'amuzi ndani Kabla ya kujiimarisha kwanza kwenye Ving'amuzi ambavyo vinasumbua na ku update channel kila wakati.pia muweke Huduma za radio kwenye Ving'amuzi vyenu na mhakikishe ndani ya mwaka huu mnaiongeza clous TV kwenye Huduma zénu kiukweli mena Huduma mbovu
 
yaani. STARTIMES mnakurupuka sana mnaleta TV zenye Ving'amuzi ndani Kabla ya kujiimarisha kwanza kwenye Ving'amuzi ambavyo vinasumbua na ku update channel kila wakati.pia muweke Huduma za radio kwenye Ving'amuzi vyenu na mhakikishe ndani ya mwaka huu mnaiongeza clous TV kwenye Huduma zénu kiukweli mena Huduma mbovu
Mbona clouds kwangu naiona? Au unataka clouds gani mkuu?
 
Labda tofauti ilà mimi kwenye king'amuzi changu cha ante na siipati mkuu
Duh pole yako ila mimi natumia king'amuzi cha dishi pia ni kipya hakina zaidi ya miezi miwili, yaani ndo model zao mpya wametoa hivi karibuni
 
Back
Top Bottom