Startimes remote control android app

MUSTO

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
241
286
Habari zenu Wakuu

Kama kichwa cha habari kinavosema,ningependa kujua kama ninaweza kupata remote control android app kwa ajili ya king'amuzi cha Star Times.

Natanguliza Shukrani.
 
King'amuzi cha Star Times kinatumia mionzi ya infrared katika kuwasiliana na remote yake. Hivyo ndani ya king'amuzi hicho kuna kifaa maalum (infrared receiver ) kinachopokea mionzi ya infrared na ndani ya remote yake kuna kifaa maalum ( infrared transmitter ) kinachotuma mionzi hiyo ya infrared .

Ili simu yako iweze kutumika kama remote ya Star Times lazima iwe na infrared transmitter(IR blaster) ,angalia list ya simu hizo hapa --> https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_devices_with_IR_blaster

pia lazima iwe inarun Android 4.3 Jelly Bean na kuendelea.

Kama simu yako ina sifa hizo nipe 150,000/= nikutengenezee app hiyo.
 
Duuh sasa si bora akanunue remote na tv madenge kabisa150 parefu babuu
 
King'amuzi cha Star Times kinatumia mionzi ya infrared katika kuwasiliana na remote yake. Hivyo ndani ya king'amuzi hicho kuna kifaa maalum (infrared receiver ) kinachopokea mionzi ya infrared na ndani ya remote yake kuna kifaa maalum ( infrared transmitter ) kinachotuma mionzi hiyo ya infrared .

Ili simu yako iweze kutumika kama remote ya Star Times lazima iwe na infrared transmitter(IR blaster) ,angalia list ya simu hizo hapa --> https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_devices_with_IR_blaster

pia lazima iwe inarun Android 4.3 Jelly Bean na kuendelea.

Kama simu yako ina sifa hizo nipe 150,000/= nikutengenezee app hiyo.
Mkuu Thenks sana kwa Elimu yako ila katika hiyo list bahati mbaya simu yangu haipo
 
Nenda googleplay pakua Zazaremote alafu nitakupa maelezo ya kutumia inafanya kazi vizuri kwa startimes na pia azam decoder.kikubwa simu yako iwe na Ir blaster
Daah bro simu yangu haina IR blaster nadhani kutakua hakuna any other possible option?
 
Mm nina tecno j8 naona haikubal naona inanionesha jinsi ya kuchomek IR jee nifanyeje?
 
Nenda googleplay pakua Zazaremote alafu nitakupa maelezo ya kutumia inafanya kazi vizuri kwa startimes na pia azam decoder.kikubwa simu yako iwe na Ir blaster
Mimi nime download kaka..naomba unielekeze
 
Kwa window sina ujanja mkuu ila unaweza kujaribu kuangalia store ya window kama Zazaremote kwenye store ya window ipakue fata hayo maelekezo basi utakua umepata remote kama hakuna itabidi usubiri mtengenezaji wa Zazaremote atoe toleo kwa ajili ya window
 
Duu naona hakuna hiyo kitu mkuu so ni taabu tupu ila iko poa sana maybe kuna mbadala wake ngoja wajuzi wa mambo waje ila kwa kutizama setting tu utajuaje kua simu yako ina hiyo kitu IR BLASTER
 
kadude flani kana kioo kadogo kanakua mbele ya simu yako kama kale kanachokua mbele ya rimoti..
 
mkuu kumbe simu yangu nahisi INA uo uwezo kapo kadogo tena nilikuwa sijui kana kazi gani, vipi naweza kupata app ya remote kwa ajili ya flat TV yangu.
 
Kwa wale ambao tayari wamesha download Zazaremote click add nenda kwenye STB changua NewLand STB alafu Model NL5103yu hapo utakua umemaliza fata maelekezo ya program ila hiyo ni kwa Decoder za Azam na Startimes
watu wame download mwaka jana juni, jibu linatolewa Leo.
 
Mkuu simu yangu ni Galaxy Note 3 neo na ipo katika orodha ya simu zenye IR blaster.
Nimeinstall zazaremote na nimeAdd vizuri tu lakini naona haifanyi kazi. Kama kuna ziada naomba muongozo wako.
Screenshot_2017-02-27-06-36-10.png

Back
Top Bottom