Startimes remote control android app

Mkuu hukupaswa kuchagua satallite ulipaswa uchague STB delete hiyo anza upya pale mwanzo kuna uchaguzi wa TV Satallite na STB chagua STB alafu Newland alafu model ndio iwe hiyo 5103uy
 
angalia hiyo picha kisha nielekeze naona kuna STB/Satellite kwa pamoja
Screenshot_2017-02-27-07-18-05.png

Mkuu hukupaswa kuchagua satallite ulipaswa uchague STB delete hiyo anza upya pale mwanzo kuna uchaguzi wa TV Satallite na STB chagua STB alafu Newland alafu model ndio iwe hiyo 5103uy
 
Tumia hiyo stb alafu kwenye orodha yake tafuta Newland ukishaipata mkuu ufanye kuiclik alafu itakuja model ndio utafute hiyo5103yu na hapo kwenye program yako ya zazaremote haitakuwa inaonyesha satellite bali itaonyesha stb newland 5103yu
 
Blackberry hii naitupa!! Haiwezekani limejaa ma apps kibao lakini hakuna ya kutumia!hata facebook!! Kha! Nimeibiwa
 
Nimejaribu namna ulivyonielekeza lakini imeshindikana.
Kuna sehemu labda ya kuwasha hiyo IR
Tumia hiyo stb alafu kwenye orodha yake tafuta Newland ukishaipata mkuu ufanye kuiclik alafu itakuja model ndio utafute hiyo5103yu na hapo kwenye program yako ya zazaremote haitakuwa inaonyesha satellite bali itaonyesha stb newland 5103yu
 
Mkuu inafanya kazi sasa sijui huenda labda simu yako ina shida ya IR na je ukiangalia upande wa juu kwenye simu kwenye tundu la headphone upande wa kushoto kuna IR kadude flani kama glass cha duara kidogo kipo?
 
Mkuu nashukuru sana kwa ushirikiano wako.
Umeonesha nia ya dhati ya kunisaidia. Mungu akulipe.
Hatimaye nimefanikiwa kwa King'amuzi cha Azam.
King'amuzi cha Startimes kimekataa.
Natumia hivi vipya vya rangi nyeusi cha antena model yake ni st210-ac
Mkuu inafanya kazi sasa sijui huenda labda simu yako ina shida ya IR na je ukiangalia upande wa juu kwenye simu kwenye tundu la headphone upande wa kushoto kuna IR kadude flani kama glass cha duara kidogo kipo?
 
Jamani nataka remote ya kutumia kwenye a border portable DVD player. Je Luna remote inayoweza ingiliana.
1559590594720.jpeg
 
Nenda googleplay pakua Zazaremote alafu nitakupa maelezo ya kutumia inafanya kazi vizuri kwa startimes na pia azam decoder.kikubwa simu yako iwe na Ir blaster
Mkuu hebu weka hiyo link ya zaza na unipe setting zake nitengeneze remote apa
 
Kweny hiyo orodha ya sm zenye hiyo mionzi techno hamna hata 1 dah
Nenda googleplay pakua Zazaremote alafu nitakupa maelezo ya kutumia inafanya kazi vizuri kwa startimes na pia azam decoder.kikubwa simu yako iwe na Ir blaster
 
King'amuzi cha Star Times kinatumia mionzi ya infrared katika kuwasiliana na remote yake. Hivyo ndani ya king'amuzi hicho kuna kifaa maalum (infrared receiver ) kinachopokea mionzi ya infrared na ndani ya remote yake kuna kifaa maalum ( infrared transmitter ) kinachotuma mionzi hiyo ya infrared .

Ili simu yako iweze kutumika kama remote ya Star Times lazima iwe na infrared transmitter(IR blaster) ,angalia list ya simu hizo hapa --> https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_devices_with_IR_blaster

pia lazima iwe inarun Android 4.3 Jelly Bean na kuendelea.

Kama simu yako ina sifa hizo nipe 150,000/= nikutengenezee app hiyo.
Stupid idea! Upewe 150,000 kutengeneza app ya remote wakati naweza kupata remote contoller original kwa 5,000 tu??!! Hahahahahaha.......
 
Back
Top Bottom