Startimes na vingamuzi vyao

Wakuu huu uchakachuaji mbona umeisha kimya kimya?, Wenye info tupeni data zaidi yani hakuna code ina-work.
 
Ba'ndugu,
Nimeambiwa kuna king'amuzi cha EASY TV, kina local chanels zote hadi TVZ but not DTV, ni kweli, na kinapatikana wapi?
 
570 imeleta ATN, EATV, ITV na nyingine saba za nje lakini katika katika za ndani ATN tu ndio inaonyesa, zingine ziko black tu afu badae zinasema no SERVICE AVAILABLE, any soln?
 
hili jukwaa vp lilitakiwa liwe through pm kwani watawanyima access kwani nao wako humu jf
kama signal status ni over 65% ukitumia 666 utapata free channel bila error pia unaweza kuondoa hiyo error kwa ku double click subtitle button ya remote yako,rimote ya zamani lakin decoder ya kisasa,mimi napata local zote star,capital dtv mliman eatv itv atn... hope press bbc dw etc over 66 chanell sema usiclick chanel yenye $ kwani utasababisha system restore

tatizo hiyo namba sita sita sita
 
Wakuu haya maujanja ya kupata chaneli za ziada Startimes sikuhuzi hakuna
Tupeana maujanja maana local chaneli zingine sipati hadi nianze kuchomoa na kuchomeka mawaya
 
Msaada kwa sisi wa mikoani please kama kuna maujanja. kama Arusha na Moshi

mi nimejaribu inagoma naona huu uchakachuzi ni kwa dar pekeyake tu mbona arusha unagoma?
Wakuu msaada wenu bana ukitegemea huku itv,star na chanel zingine kibao zinagoma
 
Mimi pia nimejaribu hizo fq zote ola hakuna channel mpya. Pia nahisi dar channel zao nyingi zaidi.
 
Kwa wale wa ARUSHA jaribun hizi hapa 514
,515,
516..Mi nimeingiza imekubali nipo arusha maeneo ya lemara zilizoingia ni atn.atn-2,tbc-1,sentana africa,aljezira,ewtn,tbn,smile of child,hope,love world,chanel ten.

lakin sasa kati ya zote hizo inayoonyesha ni atn peke yake atn-2 ukiweka inasikika sauti tuu.na hizo zingine ukiweka hazionyeshi zaidi yanatokea maandish yameandikwa Non-Conax program kwa hili ninaomba msaada wenu wa kuu mliofanikiwa kuchakachua ili niweze kutoa maneno hayo na lingine channel kalibia zote kasoro tbc ,na atn hazina alama hii $.je alama hiyo inamana gani na nitaitoaje? kwan ipo hata kwenye chanel ambazo hazija chakachuliwa.
 
nimefanikiwa lakini ATN pekee ndo inashika,lakini sasa hata TBC1 haishiki tena! msaada zaidi unahitajika wakubwa.
 
tbc siyo kwamba haishiki tena bali imeongezeka tbc-1 nyingine na biyo iliyo ongezeka ndiyo haionyeshi angalia vizuri utaona tbc zimeji dabo..
 
Msaada:

Jinsi ya kuongeza speed ya modem kwa wneye Macintosh...please
Jinsi ya kuficha IP address pia
 
na mikoani inakubali au yangu ni kimeo? niko mwanza, ila nimeinunua december mwaka jana cdhani km ndio zile za fifa

inakubali tu bila tatizo sema kwa frequency walizo weka hapo lazima zitagoma kwani hizo hapo zinakubali kwa watu wamaeneo ya dar.
Mim mwenyewe nipo arusha nilijaribu zikagoma lakin nikafosi zingine zikakubali kwa arusha nilitumia 514,515 na ikakubali xaxa na wewe kuwa mbunifu kaa tulia anza kuingiza frequency tofauti lazima utapata namba itakayo kupa gd result.
 
ok njia rahisi ya kunasa frequency do auto search but kuwa makini na angalia toka inapo anza kuna mahali itaganda kdg na pia utaona signal inanasa apo. Just kariri iyo namba then rud katika manual search and try each n.o ulizoziona zilizostuk kwa sekunde kadhaa na ikashka signal ulivo kuwa una fanya autosearch! Ukiwa makini utaziona tu.
 
kama unataka njia rahisi hapo mkuu ya kuzinasa hizo frequency unazo sema wakati una auto serch kuna njia mbili kwanza ni kujumlisha nane nane kuanzia utakapo weka manual search kingamuzi utaona kimeandika some frequency chukua hizo na jumlisha 8 .8.

Njia ya 2 weka chanel yoyote ile halafu ikiwa inaonyesha bonya kitufe (F3) nyuma ya kitufe cha setting itaonyesha kama page hv yenye rangi ya blue bahari na mwanzoni kabisa utaona wameandika frequency inote na kisha badili badili chanel mpaka utapata frequency tofautitofauti kam 3 hv.
Hizo ndiyo utakuwa mwongozo wako kama utakuwa unaingiza zinagoma jaribu kuchukua namba za chin yake au juu yake..
Hapo lazima utaotea namba itakayo kubali .
 
Wakuu tunashukuru kwa utaalamu wenu.
Mimi nimejaribu nimepata atn.atn-2,tbc-1,sentana africa,aljezira,tbn,smile of child,love world,chanel ten. lakini inayoonyesha ni atn tu tena inaingiliana sauti na radio.
Vipi kuna aliyejaribu akapata itv, eatv, capital, dtv,
 
jamani mi nimejaribu channel zote inanambia 0 channel received,labda wamebadili tupeni nyingine
 
Mimi nadhani bora mtu akipata njia basi awafahamishe tu watu kuwa wamtumie PM ili kupata hizo trick, maana hapa panafikiwa na watu wengi hata wasio members (Guests) pia wanaweza soma na kurahisisha jamaa kurekebisha madhaifu yao. leo ile code ya 570 ambayo ilikuwa inakamata ATN na nyingine imefungwa, kwa maana hii tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.
 
Back
Top Bottom