Startimes na vingamuzi vyao

Naona hta zile freq.za dar zinagoma mkuu labda watafiti watupe freq mpya!
 
huyo ndo lengo lake anataka apate taarifa kwa email wazungu walitubia enzi za mababu sisi hatuwez kuwaonea huruma kabsaa
 
Wana roho mbaya tu, hizi channel tunazoziangalia ziko free zinahuxika nn na wao? Waziachilie km vp tuna hama startime. Ving'amuzi viko vingi ss.
 
Hivi si inawezekana kutumia dish la startimes na kingamuzi cha Azam? Sina utaalamu na haya mambo..
 
Dadavua kidogo mkuu..
Ungekua fundi wa kufunga madishi ungeshanielewa. Dish kama dish ni sawa na simu, unaweka line yoyote. Dish la startimes unaweza kulitumia kudakia Dstv ama Zuku. Hali kadhalika disha la Dstv unaweza kutumia kudakia mawimbi ya Azam ama Continental and vice versa. Tofauti ipo kwenye ving'amuzi, kwa kuwa chanel zake zimedhibitiwa kwa mifumo tofauti.

UFAFANUZI
Kwa kuwa dish la startimes ni dogo kuliko la Azam, ukilitumia kudakia azam bila kufikisha signal quality kwenye asilimia 60, chanel zitakua zinaganda ganda sana. Unapo search azam ama king'amuzi kingine chochote, kuna mahali pa kuangalia signal strength na quality. Hakikisha quality iko 60% au zaidi.
Nahisi nimeeleweka.
 
Lakini pia ku lnb ya startimes haikamati mawimbi ukitumia receiver ya azam.
 
Naomba ushauri nataka ninunue decorder au kingamuzi sasa kipi kizuri kinachoruhusu kuedit au kuaad channel au kuchakachua?
 
Hawa Star times inabidi wabadilishe ving'amuzi vyao, ni vya kizamani, picha mbaya na hakuna option ya radio kama Azam.

Vv
 
mkuu ni kwamba kunanjia ya kuchakachua na kupata chanel 12 za ziada nenda kwenye menu kisha shuka mpaka chini kwenye itemu ya 4 bonyeza ok kisha bonyeza mchale wa kushoto bonyeza ok kwenye manual kisha andika 530 bonyeza ok itasearch chanel ikimaliza close rudi mwanzo utaona chanel zimeongezeka mpaka itv ndani karibu ktk uchakachuaji
Umetisha, ni kushoto tu, OK
 
zile za mwanzo naona kama zinagoma nilijaribu kwa 530 ebu ngoja nijaribu na hizi 570
Mimi nilienda kweny branch ili niwe napata zile local channels maana kifurushi kikata nao walikuwa wanakata chanel zote wananibakishia tbc tu hata itv walikuwa wanaikata ila baada ya kwenda kweny branch yao wakaniambia inabidi nilipie 12000 ili wanibadilishie ile card mpya wanipe inayoruhusu kuonesha local channels now baada ya kufanya hivo hata kifurushi kikiisha napata chanels 12 free zote ni local, je kuna ulazima wa kufanya hivo mnavoshaur ili nipate channels nyingi zaidi au niche.
 
Back
Top Bottom