niwaellyester1
Senior Member
- Sep 7, 2010
- 123
- 19
na mikoani inakubali au yangu ni kimeo? niko mwanza, ila nimeinunua december mwaka jana cdhani km ndio zile za fifa
na mikoani inakubali au yangu ni kimeo? niko mwanza, ila nimeinunua december mwaka jana cdhani km ndio zile za fifa
zile za mwanzo naona kama zinagoma nilijaribu kwa 530 ebu ngoja nijaribu na hizi 570
Wajameni mimi nilinunua kabla ya kombe la dunia imekubali kwenye friquence ya 778 na zimeongezeka channel 7 zikiwemo aljazeera,MTV(Asia),channel V,CCTV4 na nyinginezo.Tunawashukuru sana wana jamvini kwa maujanja yenu.
Hii thread sikujua kama ina mambo mazuri hivi... Wakuu mnanishauri ninunue king'amuzi kipi cha startime au TING?
cha ting wanakisifia kzuri kwamba kina option nyingi ata kwa net na pc ila kwa ss za startme ndio 2mechakachua ngoja wenye ting wa2pe mrejesho nao
hili jukwaa vp lilitakiwa liwe through pm kwani watawanyima access kwani nao wako humu jf
kama signal status ni over 65% ukitumia 666 utapata free channel bila error pia unaweza kuondoa hiyo error kwa ku double click subtitle button ya remote yako,rimote ya zamani lakin decoder ya kisasa,mimi napata local zote star,capital dtv mliman eatv itv atn... hope press bbc dw etc over 66 chanell sema usiclick chanel yenye $ kwani utasababisha system restore
karibu kama ni mpenzi wa tb joshua wa emanuel tv utapata kwa 530 hii inachane 12
nishanunua hii startimez inanitosha, uwezo wenyewe huu wa kiuanafunzi, nitakomaa nayo hii hii mpk nikija dar itakuwa fresh kumbeHapana, ni kwa beam zinazotokea kisarawe na tbc kijitonyama,
Jitwalie TING kama imefika hapo.....