Startimes na vingamuzi vyao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Startimes na vingamuzi vyao

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by drphone, Feb 2, 2011.

 1. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwa wale tuliochakachua vingamuzi vya startimes naona wamestuka hawa jamaa tangu lastweek ukifungua zile channel zetu inatoa icon ya warning NON COMAX PROGRAM alafu akitoki kinakaa katikati ya tv tangu jana nimefungua azionyeshi chochote kile tena mimi nawashangaa kwa nini wasiziongeze official kabisa kwanini watubanie wakati ipo free on air tu nimeshindwa kuwaelewa kabisa
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wakuu jana nimefungua imekubali lakini bado ile warning alert ipo na inaziba sehemu kubwa sana cjui wana mpango gani
   
 3. g

  gomer Senior Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu, Ni vizuri kuona wanafuatilia nyendo zako, ila kweli inasikitisha kuona wanabania program za free to air, hususan nyingi zikiwa za maadili ya Ulokole!

  Mifumo mingi ya program inatumia Conax card hapa kwetu isipokuwa dstv wanaotumia Irdeto.

  Hata hivyo tusikate tamaa, Ndugu zetu wa ATN wana king'amuzi ambacho kinarusha free to air channel zote 12, TBC1 ikijitegemea.

  Uzuri wa ziada wa king'amuzi cha TING, kina facilities za kuwasiliana na kompyuta.......
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu hawa watu wanakaba mpaka penati ilitakiwa waruhusu hii kitu kama mm nafaidi chenel moja tu ndio napenda emmanuel tv bac tayari wanaibania watoto wanafaidi katuuni angalau nimepunguziwa mzigo wa kununua dvd nafikiri kilichobaki kuchakachua hzo card zenyewe
   
 5. g

  gomer Senior Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wakuu tujaribu frequency setup 570.

  Pamoja na kuonekana 530 iko scrambled, ni mkongo wa TING ila wamejisahau na kupachika kifungo kwenye kurusha, ndio maana kingamuzi hiki cha startimes kinamengenyua hivyo, 'non conax....'

  570 haiko scrambled, iko clear isipokuwa unaweza kuona 'chanel sivyo ndivyo', wanajiandaa!!!

  Tuwapongeze wana maombi hawa, kwa kujitwalia TING a multimedia DTV Terrestrial Receiver.
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu gomer thanks in advance nikifika om tu chakwanza ni hicho nimechoka warning error nashindwa kuona picha kwa raha
   
 7. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  jamani ebu nitoeni ushamba kidogo mnachakachuaje hicho kingamuzi cha star time cos mie ninacho na nina lipia kawaida 2 so ebu nipeni ujuzi wataaalamu
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu njia hii inachanel 10 na hazipo local chanel kama hii 530 na nikweli azina ile error
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu ni kwamba kunanjia ya kuchakachua na kupata chanel 12 za ziada nenda kwenye menu kisha shuka mpaka chini kwenye itemu ya 4 bonyeza ok kisha bonyeza mchale wa kushoto bonyeza ok kwenye manual kisha andika 530 bonyeza ok itasearch chanel ikimaliza close rudi mwanzo utaona chanel zimeongezeka mpaka itv ndani karibu ktk uchakachuaji
   
 10. S

  Slm Senior Member

  #10
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mh! Kwangu imegoma
   
 11. Petiro

  Petiro JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu big up sana kwa haya maneuver let me go to try, japo nasikia zile decoder za zamani(toleo la mwanzo during FIFA world cup) hazifai kuchakachua but nitaenda kutest na nitawajuza wadau
   
 12. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zinachachua through frequency 570.try!

   
 13. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #13
  Feb 12, 2011
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kwangu imegoma bwana, nadhani itakuwa ni decorder ya zamani
   
 14. g

  gomer Senior Member

  #14
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wakuu, tujaribu hizi
  650,
  666,
  698,
  714,
  778

  Ndugu zetu wako kwenye matengenezo, huku wakiendelea na mapambio,

  BWANA ASIFIWE!
  AMINA.
   
 15. g

  gomer Senior Member

  #15
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu weka ile link ya kuset hizi frequency nimetafuta nimeishia.. itafaa kwa bigginers.
   
 16. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thanks mkuu nimeshazinakili kama kawaida nitakwenda kujaribu na nitarudisha mrejesho hapa
   
 17. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  poa mkuu nikama ifuatavyo

  1)unabonyeza menu kwenye limoti
  2)unatumia mchale wakwenda chini mpaka mwisho kwenye system unabonyeza ok
  3)unatumia mchale wa kwenda kulia utaona option 2 chagua manual bonyeza ok
  4}zitatokea no andika namba 530 au 650,666,698,714 na 778 kisha bonyeza ok itaanza kusearch utaona chanel zilizoongezeka bonyeza exit ikimaliza kusearch anza kutumia
  sorry kwa maelezo yangu yanaweza yasijitosheleze ila ndivyo nilivyokariri
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  pole sana mkuu kama umefanya kama maelezo yalivyo na ikasema no chanel found or 0 chanel recieve ujue kmeo
   
 19. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  zile za mwanzo naona kama zinagoma nilijaribu kwa 530 ebu ngoja nijaribu na hizi 570
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  labda ni zile za mwanzo
   
Loading...