StarTimes huu upuuzi wenu sijauelewa

StarTimes huu upuuzi wenu sijauelewa

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,093
Reaction score
22,806
Ninaandika hapa huku nina hasira sana. Tokea leo nimekuwa napata huu ujumbe kwenye screen ya Tv ambao hauna mashiko na uhalisia.

Nimelipia kifurushi vema na hata kama ningekuwa sijalipia sidhani kama wanatakiwa kunitumia huu ujumbe maana ni hiari yangu kulipia ama kutolipia.

Sasa shida inayonifanya kulalamika hapa ni namna huu ujumbe hauachi kudisplay kwenye screen kila baada ya dakika zisizozidi tatu. Imekuwa kero hadi hapo home wanashindwa kutazama tv.

Sasa nataka kujua kwanza je watumiaji wa startimes wengine mnakutana na hii shida au nipo pekee yangu.

IMG_20210106_193755.jpg
IMG_20210106_193840.jpg
 
Bado unatumia srartimes Dunia ya leo?
 
Sawa mkuu,ila hongera una smart TV kubwa na inavutia. teh teh teh
 
Nina andika hapa huku nina hasira sana. Tokea leo nimekuwa napata huu ujumbe kwenye screen ya Tv ambao hauna mashiko na uhalisia...
😆😆😆😆 Kiongozi kwa ilo li msg hapo bila shaka una tumia lile li box la startimes kwa maana king'amuzi vya zaman 😆😆 pole sanaa wavumikie wakubwa wenzio
 
Kiongozi kwa ilo li msg hapo bila shaka una tumia lile li box la startimes kwa maana king'amuzi vya zaman pole sanaa wavumikie wakubwa wenzio
Kesho nikitoka town nitapitia kuchukua dstv na fundi nikawafungie kwanza kwa malkia kabla sijarejea....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina andika hapa huku nina hasira sana. Tokea leo nimekuwa napata huu ujumbe kwenye screen ya Tv ambao hauna mashiko na uhalisia....
Pia wanakera sana kwa matanganzo ya bidhaa zao kila baada ya sekunde kwa kutumia kifurushi ulicholipia,siku kifurushi kikiisha hata hayo matangazo hayaonyeshwi,Startimes kwa nini mnatumia migogo yetu kutuonyesha bidhaa zenu ambazo ni kwa ajili ya faida zenu?
Mimi nimeapa baada ya January (malipo ya karo)naamia dstv kwani mnaninyonya

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom