kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,068
Hiyo hata bure sichukuiZUKU ndo mpango mzima,,ila wapunguze gharama tu za package
Hiyo hata bure sichukuiZUKU ndo mpango mzima,,ila wapunguze gharama tu za package
Mbali ya chanel kufutika na kurudi,naona wameanza kutuletea tangazo tujiandae kuanza kulipia huduma ya kila mwezi kwa vifurushi.Na bei elekezi kwa kifurushi wametoa.Hapo ndio nataka kuona,vp wapo serious kucharge hela wakati huduma zao mbovu!!Naona na continental wanafuatia kwa upuuzi.. Toka wameleta kadi ni usumbufu Chanel za muhim kama itv,na hata hiyo ya star hazipatikan zaid ya wiki 2 sasa
King'amuzi bora kabisa kinachoongoza hapa Tanzania na Afrika kwa sasa ni DSTV na kampuni yao ya multchoice (japo vifurushi vyao ni aghali sana maana cha juu kabisa Premium ni Tshs. 215,000/= na cha chini kabisa Access/Bomba ni Tshs. 23,500/=) kwa mwezi!
Hawa jamaa kwa kweli huduma zao ni za kiwango cha kimataifa kuanzia unaponunua na kufungiwa king'amuzi chao, ubora wa picha zao pamoja na customer care service yao ni bomba
sana!
Nadhani wanafuatiwa na Azam, Digitek na TING hakuna longo longo huko!
Nimejitolea kuwa promote bila malipo na nashauri kama una uwezo hamia kwa moja ya hawa watoa huduma wa television!
Ni wezi. Nimelipa kifurushi cha 24,000 lakini mwezi mzima wananidanganya kuwa, mara elekeza Antena Zanzibar, Mari ielekeze Tanga. Nimesha ongea na kupitia number ya customer service zaidi ya mara 30 lakini wananidanganya kuwa wanamtuma fundi aje anitengenezee lakini hakuna alitokea. Mara yà mwisho fundi wao kaniambia kuwa hawezi kuja hadi nimlipe pesa. Tahadhari, usisumbuke na startimes.. .. Itakula kwako.. Kama unaishi Boko Magengeni achana na startimes
Ni kweli mafundi wao si lolote ni kodo hawajui kituNi wezi. Nimelipa kifurushi cha 24,000 lakini mwezi mzima wananidanganya kuwa, mara elekeza Antena Zanzibar, Mari ielekeze Tanga. Nimesha ongea na kupitia number ya customer service zaidi ya mara 30 lakini wananidanganya kuwa wanamtuma fundi aje anitengenezee lakini hakuna alitokea. Mara yà mwisho fundi wao kaniambia kuwa hawezi kuja hadi nimlipe pesa. Tahadhari, usisumbuke na startimes.. .. Itakula kwako.. Kama unaishi Boko Magengeni achana na startimes
Kwanini atoe TING? tena hyo ndo yakwanza hasa Kwa watu wa YesuHapo unaposema wanafuatiwa na Azam,Digteck na TING naomba TING itoe kabisa