2015ready
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 376
- 138
Ni wezi. Nimelipa kifurushi cha 24,000 lakini mwezi mzima wananidanganya kuwa, mara elekeza Antena Zanzibar, Mari ielekeze Tanga. Nimesha ongea na kupitia number ya customer service zaidi ya mara 30 lakini wananidanganya kuwa wanamtuma fundi aje anitengenezee lakini hakuna alitokea. Mara yà mwisho fundi wao kaniambia kuwa hawezi kuja hadi nimlipe pesa. Tahadhari, usisumbuke na startimes.. .. Itakula kwako.. Kama unaishi Boko Magengeni achana na startimes