Startimes Dodoma mmetukwaza

KUNDULE

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
318
Reaction score
177
Kwakweli inasikitisha sana kwa hiki ambacho star times wanatufanyia yani ni karibu wiki sasa hatupati matangazo mbaya zaidi ukiwapigia hawana majibu ya kutupa zaidi ya kujikanyaga.
Kuna tetesi biashara imewashinda na naanza kuamini.kwa style hii bora nitafute azam
 
Nunua Dish la startimes vile vi antenna havifai achana navyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…