StarTimes baadhi ya channel zake hazionekani msaada jamani

StarTimes baadhi ya channel zake hazionekani msaada jamani

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,909
nimelipia kifurushi cha uhuru lakini nashangaa channel kama STVE 1, MTV Base, Kungfu, DTV Hazipo kwenye list ya channel. Sasa sijui zimeondolewa au kwangu tu ndio magumashi?
 
Channel nyingi hazionyeshi. Kuna shida na hawa wahujumu. Mitambo yao na uchakachuaji wanaoufanya kwa wateja na usumbufu. Zuku washushe tuhamie huko.
 
Back
Top Bottom