Start From Now: I'm CCM, Real CCM

kuhama kwako kusiwe nongwa coz hauna madhara kwa kuwa sio mwanaCDM ENDELEA NA PROPAGANDA ZAKO
 
Nimefanya uchunguzi watu wengi tulioenda shule, yaani tulifaulu std seven, form4, form six, tukapata G.P.A ya haja first degree, Masters....., kazi tukazipata bila figisu..., hakuna anayepiga kelele za kupoteza muda kudai vyeti vya Makonda.., Rakini watu walio reseat Mara kumi kumi, wengine walishinda kuchomoka hata form two, ndio wanashinda mitandaoni kudai vyeti vya Makonda...., Kuna siku nitaanza kuwataja kwa Majina. Mi nadhani kila anayemwandama Makonda ajihoji kwanza yeye shule yake.
 
kuamua ni kuchagua............................
 
Wa kongwe wa JF wananitambua.

Kabla ya kubadili ID hii nilikuwa natumia ID nyingine ambayo ulikuwa hukosi thread kila siku kuipaisha chadema humu, uzi wangu ulikuwa gumzo humu.
Jambazi sugu
 
Mie niliwahi kuuliza, hivi Makonda ndo ahadi zao za 2015 kwa majimbo yao? Makonda ndo barabara, afya, maji na umeme kwenye majimbo yao? Kuacha kuhangaikia jimbo lako ukaanza kudeal na Makonda ni kukosa focus, na wangekuwa wanajifunza basi Nassari ni mbunge anayejitambua sana.

Tuliona kelele nyingi sana za Mnyika 2010-2015 lakini pia tulishuhudia ni jinsi gani mambo yalivyokuwa magumu kwake katika kurudi 2015-2020 kwasababu tu alidhania kupiga kelele bungeni ilitosha kumrudisha. Kilichombeba Mnyika mpaka kuponea chupu chupu ni pale tu alipoamua kuhama jimbo baada ya kugundua mambo yameshaharibika akiwa Ubungo. Sasa hawa wa leo, 2020 wanarudi vipi? Nina imani kubwa sana, ikifika 2020 ni lazima waisome namba tena wa kwanza atakuwa Lwakatare.
 
Mwezako kapata kura 23 jana.. kama kweli wewe ni mwenzake na hautumie id ya kipropaganda...upande wa pili hamuaminiki tena na upande wa pili unawenyewe...kaa ukilijua hilo
Kama ni njaa inakupeleka nenda mwanawani kama ni uongozi fikiria mara mbili.
 
Hujawahi kuichukia CCM wewe, Kwa aliyeichukia CCM ni mara mia achague chizi kuwa Rais kuliko kuiweka CCM madarakani....
 
Wewe ni juha, unalionaje swala la Bashite ni dogo huku ukikosoa kwamba mwenyekiti wa CHADEMA ana elimu ndogo!
Unakosoaje swala la Bashite ni dogo huku zaidi ya watanzania wamekosa kazi kwa kosa hilohilo dogo la Bashite, kwanini wasingeliona dogo kwa hawa watanzani.
Unaliona kosa dogo huku zaidi ya wanafunzi 4800 wakikosa masomo kwa kosa hilo dogo la Bashite.
Sasa wewe kwa mtazamo wako wa kibashite, na huyo mwenyekiti anayelilia watu hawa waliokosa masomo na kazi zao kwa kosa hilo ndogo la kibashite, huoni wewe una akili ndogo zaidi kuliko huyo Mwenyekiti!
Hoja ipi ambayo wewe unaona ya msingi zaidi kumaliza udikteta unaosema unarekebishika, zaidi ya kubadili katiba hii ya kibabe,... Je hilo halijafanywa na CHADEMA?..
Serikali hii ipo kwa ajili ya kuuwa upinzani, sio sikivu, haishauriki na haikosolewi....
Wewe ni wa Lumumba, usilete ubashite hapa....
 
Ilitosha tu uiambie familia yako,.. Huna ushawishi wowote,.. Ushaweka thread yako nenda kachukue buku 7 yako, kawaambie umeshamaliza ulichoagizwa.. Kwaheri mkuu.
 
Kidumu miaka 100000009999976542
 
Unajua siku hizi kuna kina Mangi pia wanashika ukuta wanapigwa dushe kwa hiyo haishangazi Mangi wa hovyo kama mleta mada kuipenda CCM
 
Vipi umeasi kambi ?

Mimi ni independent thinker Mkuu. Kama CCM wakifanya powa, I applaud them. Wakifanya ujinga (ambao ndo mwingi) nawasema vile vile. kwa Upinzani....Siwezi tumia neno kukata tamaa. But I don't trust them kwamba wanaweza kuvaa viatu vya CCM. ni wale wale.

Hivi mfano, unawezaje kuni-convince kwamba Masha ndo alikuwa anafaa kupeperusha bendera ya CDM? (I personally like my brother Masha. Ni msomi mzuri tuu. ana exposure na mengineyo yanayotakiwa). Lakini what makes you believe kwamba leo hii anaweza kusimamia maslahi mapana ya Chadema? Kwa nini aliondoka CCM? most likely interest zake zilikuwa challenged. same kama Lowassa. Leo unaniambia eti ni mwana mageuzi? Really? Chadema hawana vijana wasomi ambao wamewandaa kwa nafasi kama hizi? I mean kweli?

Again, no permanent friends in politics. Lakini ukiona wapinzani wengi nchi hii.....wanarudia yale yale tunayoyakemea CCM. they have no principles.

CCM hashindi uchaguzi kwa sababu anakubalika. Far from that. Anashinda kwa sababu wapinzani wake bado hawajawa tayari (niwe diplomat kidogo) kuongoza.
 
Sawa bashite tumekusikia...vyeti umekuja navyo?!!
 
n
ni mvuta bangi au cocaine au mwizi tu ndie atakaye kwenda CCM si vyenginenyo. CCM washatawala miaka 55 ni lipi jipya walilofanya wakati nchi inautajiri usio elezeka
 
Wapinzani ni kama Arsenal kwenye EPL,haweindi mbele,hawarudi nyuma wanachotaka wao ni kubakia tu kwenye mashindano lkn si kubeba kombe.Wanajua gate collection ipo tu ili mradi upo mashindanoni.
 
"Rakini" umesoma sana lakini hujui kuandika, Hivi nyie wasomi wa Tanzania mnashida gani yani wewe leo unasema waliopita straight bila kurudia wote wamepata kazi bila figisu? nahisi una braindamage mimi sijasoma kama wewe ila usomi wako ni hasara kwa hili taifa. Umefanya na research kabisa na umepata majibu hayo kweli wasomi wa leo MADE IN CHINA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…