boko amekosa goli yeye na kipa. haki ya mungu boko hatufai. sio mchezaji. wenzake wanajituma yeye anajiangusha. sijui kwanini hajatolewa. inauma sana.
Dah hatuna bahati boko nini xaxa?
Mkitoka draw basi sitaingia JF siku 3.......na nimeongeza mkifungwa siku 10 siingii jf.....viva mambaz
bwaqhahahahahaha mpira hauchezwi na bahati arifu.......
Acha hizo bana...na jezi nimevaa kwahiyo lazima kieleweke leo!!
raha gani arifu? yaani kweli mmesshiwa....mnaanza kushangilia draw sasa.....Kaseja nipe raha mimi mtanzania mzalendo.