Stars/Msumbiji Live update!

Alafu hawa wachezaji wa Msumbiji wanadeka kweli!!
 
mambazzzzz mnaniangusha bana...piga hao
 
sure boy/ salum abubakar ataingia na kutoka nje abid kasim babi.
 
salum abubakar ana mtoto mmoja. kapiga mpira ukagonga mwamba.
 
boko amekosa goli yeye na kipa. haki ya mungu boko hatufai. sio mchezaji. wenzake wanajituma yeye anajiangusha. sijui kwanini hajatolewa. inauma sana.
 
Lingine john bhoko kakosa,hawa wamakonde sijui wamewawekea ndonya miguuni
 
shadrack kaonywa kwa kadi ya njano. baada ya kufanya upumbavu ambao haujanifurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…