Stars kwa jeuri gani mumfunge moroko..

Stars kwa jeuri gani mumfunge moroko..

Anauchungu kenya walimudu sare ya 1-1 lagos wakapigwa 1-0 kenya aha
 
Nimependa sana strategies za technical bench la Taifa Stars kuelekea mchezo wa leo.

Mwalimu ameamua kutumia mfumo wa kushambulia ili tupate goli la mapema na kupunguza kasi ya wao kucheza na kutushambulia.

Mwalimu atatumia mfumo wa 4-3-3 kwa kuwapanga kwa pamoja kule mbele Ngassa, Ulimwengu, Sama Goal wakati Viungo watakuwepo Damayo, Sure Boy na Kiemba. Nyuma kama kawaida Juma K Juma, Nyoni, Kapombe, Yondani na Agrey.

Kwahivo leo tutarajie ushindi, tuna kila sababu ya kushinda ugenini kutokana na maandalizi mazuri ya timu yetu!
 
Huyu mtoa mada sijui nimporomoshee mitusi au ntakula ban?
 
tatizo nchii hii tumekumbutia mijitu kibao amabyo si raia ya nchii hii

Mkuu ni kweli tumeyakumbatia mengi, lakini mengine yako nje ya TZ yanapost kutokea hukohuko mfano Cancuzo, Gayaza, Homa Bay, Remera n.k. Tuyavumilie Mkuu, hii ndiyo gharama ya utandawazi.
 
Kwanini tusiwafunge mbona tumeshawapiga walipo kuja dsm, sasa tunaenda kuongeza kipigo kingine hukohuko
 
Kwanini tusiwafunge mbona tumeshawapiga walipo kuja dsm, sasa tunaenda kuongeza kipigo kingine hukohuko

Sure! Kama Libolo liliitandika SSC nyumbani na ugenini, vivyo hivyo na TS itawabamiza Morocco. Samahani kwa kutumia mfano wa LFC.
 
shwain wewe acha kuleta upuuz hao morocco mbona tuliwafunga hapa tz
 
Tutawafunga hao Waarabu wako mpaka washindwe kula 'Shish Kebab' na pia ' Shisha' waione chungu kuvuta baada ya mechi. Mtaji wa 3-1 unatosha kuwangoa Simba wa Atlas.
 
Back
Top Bottom