Haipitwi na wakati kivipi wakati hata toyota washasahau kama waliwahi kuzitengeneza wakaiita starlet???starlet ni gari kali zaidi ya kluger mkuu, starlet ni gari isiyopitwa na wakati,low fuel consmptn and cheap price ni its spears
sio sifa mkuu kaonesha uanaume katimiza haja ya mtoto wake..hiyo ndio maana ya uwanaum..hongera sana boss.wabongo kwa sifa..sasa hapo lengo la huu uzi ni ili kutujulisha kuwa umenunua kluger tukuone na wewe matawi ya juu au lengo ni nini?
The fighter never loose. Congra brother.Nilihamia mtaa fulani akawepo jirani yetu ana gari aina ya starlet glanza, hali hii ilimtesa sana kijana wangu wa kiume.Sikwamba sikuwa na pesa za kununua gari ya aina hiyo ila sikupenda kumiliki usafiri wa aina hio.
Kila walipotoka kijana wangu aliwachungulia dirishana na kufadhaika sana hakika hali ile iliniumiza zaidi moyoni mwangu, kibaya zaidi wale majirani walikuwa wana mtoto wao pia wa miaka minne sawa na wangu hivo wakati mwingine alimwita 'King'twende mall lakini hakuweza maana si kila mara wazazi wake walimchukua rafiki ake ambaye ni mwanangu.
Mwanangu bila kujua nina sikitika sana moyoni mwangu na kupanga mashambulizi ya kimaisha aliendelea kunichukulia poa tu, lakini moyoni niliweka nadhiri ya kupata chuma nilichoona walau kina hadhi yangu kwani sikutaka ninunue gari leo na kesho nione kama nilikosea.
Tumemkalibisha mnyama 'KLUGER' kwa 16m na mwisho wa siku mwanangu ana furaha baada ya kusuibiri miaka miwili ya kutamani glanza bila kujua baba aliwaza nini.
Tena si gari tu hata baiskeli phoenix au swala poa tu utapongezwa mkuu.nunua na wewe ufungue uzi tutakupongeza vile vile.
HONGERA MLETA MADA KWA KUMILIKI CHOMBO.
nunua na wewe ufungue uzi tutakupongeza vile vile.
HONGERA MLETA MADA KWA KUMILIKI CHOMBO.

Duuuuh,,,,,,sawastarlet ni gari kali zaidi ya kluger mkuu, starlet ni gari isiyopitwa na wakati,low fuel consmptn and cheap price ni its spears
acha ajipongeze kwa mafanikio na ni wakati wake kuutangazia ulimwengu kuwa alibana pumzi kwa muda mrefu na anayo kila sababu ya kuyafurahia matunda ya mipango yake sanjali na familia. tuache inda, wengi wetu hata Avon na Phoenix tunazotumia tumerith ama tunaazima kwa mwenyekiti wa mtaa.Yaan ndeeeefu ili useme tu umenunua Klugger
Mara nyingi hatujui wazazi wetu wanawaza nini. Wao wanawaza makubwa zaidi kwa ajili yetu, sisi tunawaza tunachokiona mbele yetu tu. Hata wewe inawezekana ulivyokuwa mdogo ulikuwa una vitu unatamani mzee wako anunue wakati yeye anawaza vikubwa zaidi.Nilihamia mtaa fulani akawepo jirani yetu ana gari aina ya starlet glanza, hali hii ilimtesa sana kijana wangu wa kiume.Sikwamba sikuwa na pesa za kununua gari ya aina hiyo ila sikupenda kumiliki usafiri wa aina hio.
Kila walipotoka kijana wangu aliwachungulia dirishana na kufadhaika sana hakika hali ile iliniumiza zaidi moyoni mwangu, kibaya zaidi wale majirani walikuwa wana mtoto wao pia wa miaka minne sawa na wangu hivo wakati mwingine alimwita 'King'twende mall lakini hakuweza maana si kila mara wazazi wake walimchukua rafiki ake ambaye ni mwanangu.
Mwanangu bila kujua nina sikitika sana moyoni mwangu na kupanga mashambulizi ya kimaisha aliendelea kunichukulia poa tu, lakini moyoni niliweka nadhiri ya kupata chuma nilichoona walau kina hadhi yangu kwani sikutaka ninunue gari leo na kesho nione kama nilikosea.
Tumemkalibisha mnyama 'KLUGER' kwa 16m na mwisho wa siku mwanangu ana furaha baada ya kusuibiri miaka miwili ya kutamani glanza bila kujua baba aliwaza nini.
Kila kitu kina funzo ndani yake.wabongo kwa sifa..sasa hapo lengo la huu uzi ni ili kutujulisha kuwa umenunua kluger tukuone na wewe matawi ya juu au lengo ni nini?