starehe zingine noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

starehe zingine noma

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by statum, Jun 1, 2012.

 1. s

  statum New Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mama m1 alimpa mumewe radio aendenayo chooni ili acboreke atakapo kuwa huko alipotoka mke alimuuliza mumewe
  mke: nahc utakuwa umeinjoy sana unajisaidia huku unakula mangoma
  mume: nimeinjoy au mateso tu
  mke: vp tena kwani imekuwaje?
  mume: watangazaji washenzi kweli wameniwekea wimbo wa taifa nimekunya nimesimama
  mke: ah ah ah ah dah!! pole mume wangu
   
 2. sister

  sister JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,029
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  hahaaaah, si angebadilisha stesheni.
   
 3. Jo the Great

  Jo the Great Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo mume alikuwa hajielewi
   
Loading...